Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Hahahahhaha nimeanza na kufurahi kidogo niliuziwa carina ya milioni tatu picha linaanza ina kelele kama kifaru cha vita huko congo alafu ndio gari langu la kwanza kumiliki na la kwanza kuendesha kama sio kujifunza ilikua balaa lile gari lilikua halili mafuta linabugia alafu halina nguvu ila mbwa yule dalali siku ya kuijaribu wee alikua anatoka nduki balaaa full kufukia mishimo kitu safi aliponiachia tu kesho yake nilizeeka ghafla mbona , nyie watu miongoni mwa stress kali ni kuwa na gari bovu yani unakua na hasira muda wote basi nikakomaa nalo dalali akaniblock likanilia vihela balaa bwana bwana si likaja kutulia full ac, mziki mkubwa, nikakutana na dalali nilikua najaza upepo bila aibu eti alaaah unaona nilikuambia utanishukuru tu kwa huo mchuma ,bahati nzuri huwa sirembi nikampa bonge wa mtusi huku namfata akaona naweza anzisha ukraine pale akala kona,ila wazee bure aghali we fikiria gari milioni tatu si kujitafutia presha huku na presha niliipata kweli😂😂
 
Mkuu mbona unawatisha wenzako gari ya mkononi ukiitaka ilinyooka mbona unapata.

1. Kikubwa gari ni body iwe imenyooka na haijaguswa hata kurudiwa rangi.
2. Angalia uvunguni km gari iko mma na haijaoza chini safi.

Siku zote gari ikipita kwenye hayo mambo mawili asilimia 80 hiyo gari nzima.

La mwisho Fundi mzuri angalie mengine than unabeba gari.
 
Back
Top Bottom