Usipende kuwa mtazamaji wa chombo kimoja cha habari, utapotoshwa vibaya mno

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC.

Lakini sikujua kuwa vyombo hivi vimekaa kimlengwa zaidi, yani vinakupa habari zile wanaziona wao ndio muhimu katika itikadi yao huku wakiwa wana-criticize wasio na itikadi kama zao.

Na nilihabarika kupitia CNN na BBC kwa uhakika hadi hapo Trump alipokuja kugombea uraisi na kushinda uchaguzi. CNN walinifanikisha kufanya nimchukie Trump ila kwa baadae sasa nikawa nashangaa inakuwaje CNN wanampinga Trump kiasi hiki na kumtetea Hillary to the maximum.

Ndio nilipofanya uchunguzi nikagundua kuwa CNN ni chombo cha habari chenye mrengwa wa kushoto ama liberals ama woke ama far-left.

CNN na BBC kama mrengwa wa kushoto ndio wanao-promote haki za utoaji mimba, uhamiaji usio na mipaka, kubadirisha jinsia watoto, haki za mashoga na wasagaji, pro-palestine, etc

Ila Trump aliingia madarakani na alifanya vizuri sana na sera zake nilizikubali sana.

Hii ni guide ya baadhi ya vyombo vya habari na itikadi zao.

CNN: Mrengwa wa kushoto,
BBC: Mrengwa wa kushoto
FOX: Mrengwa wa kulia
Al Jazeera: Mrengwa kushoto usio wa mbali, pro-Radicalism, pro-palestine

Chombo cha habari maarufu kisichokuwa na mrengwa ni REUTERS
 
Kipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC.

Lakini sikujua kuwa vyombo hivi vimekaa kimlengwa zaidi, yani vinakupa habari zile wanaziona wao ndio muhimu katika itikadi yao huku wakiwa wana-criticize wasio na itikadi kama zao.

Na nilihabarika kupitia CNN na BBC kwa uhakika hadi hapo Trump alipokuja kugombea uraisi na kushinda uchaguzi. CNN walinifanikisha kufanya nimchukie Trump ila kwa baadae sasa nikawa nashangaa inakuwaje CNN wanampinga Trump kiasi hiki na kumtetea Hillary to the maximum.

Ndio nilipofanya uchunguzi nikagundua kuwa CNN ni chombo cha habari chenye mrengwa wa kushoto ama liberals ama woke ama far-left.

CNN na BBC kama mrengwa wa kushoto ndio wanao-promote haki za utoaji mimba, uhamiaji usio na mipaka, kubadirisha jinsia watoto, haki za mashoga na wasagaji, pro-palestine, etc

Ila Trump aliingia madarakani na
alifanya vizuri sana na sera zake nilizikubali sana.

Reuters ni shirika la habari la Uingereza.

Hizo Cnn na Fox ni za watu binafsi.
 
Saana hasa hizi tbc and zbc utalishwa parachichi mabichi mpaka uvimbiwe.
 
Vyema kabisa, afadhali twitter kuliko kusikiliza media ambazo ukifuatilia wamiliki wake utagundua sio watu wema hata kdgo.
Kabisa kwa mfano al jazeera instead ya kufundisha watu wao wa mashariki ya kati amani wanawachochea kuwa resistant kupelekea kufanya ugaidi alafu wakipigwa tena ndio wakwanza kuwatetea kuwa wanAonea.
 
Pia kama umegundua taarifa ya habari imekuwa kama addiction kwenye vichwa vya watu, kila ikifika saa mbili usiku nyumba nyingi unakuta wanaangalia taarifa ya habari.

Huu ni mfano sahihi wa MIND CONTROL
 
Kabisa mkuu.

Kwa mfano kuna vitu vingi at the moment vinatakiwa viongelewe kwa ukubwa kma vile kauli hatarishi za viongozi wa ccm, kesi ya denti kubakwa, wanaopinga serikl kutekwa, madogo kutekwa,

Lakini cha ajabu utakkuta ITV mara tembo amevamia mashamba, ajali, shinda Ist au milini kumi,

Kwa hio msemo wako unakuta taifa linajengwa la watu wwaoga waoga.
 
Back
Top Bottom