Usipende kuwa mtazamaji wa chombo kimoja cha habari, utapotoshwa vibaya mno

Usipende kuwa mtazamaji wa chombo kimoja cha habari, utapotoshwa vibaya mno

Na sheli ni kituo cha mafuta😄
png-transparent-logo-royal-dutch-shell-encapsulated-postscript-company-shell-miscellaneous-ang...png
 
Sikubaliani na wewe, Tanzania hatukuwa na tv station countrywide zaidi ya ITV.

Mimi nilikuwa na satelite dish kitambo naangalia station za Kenya na Uarabuni lakini ITV ilikuwa unique ndio inakupa taarifa za ndani.

Mind control ni ile mengi kutumika pale ccm ilipoona inakwenda kushindwa uchaguzi ITV ilitumika kuwatisha Watanzania na matukio ya vita ya Rwanda kana kwamba ccm ikipigwa chini nchi itaingia vitani.
Mkuu nenda kajifunze zaidi kuhusu swala la Mind control, Ni zaidi ya unavyo dhani
 
Ngoja nikuapatie kabla munkari haujaondoka.

Mrengo wa kushoto (far left, woke, liberals)
Hawa ndio wenye itikadi ya utoaji mimba holela, nguvu ya mwanamke dhidi ya mwanaume, haki za mashoga, haki za kubariisha maumbile ya sex, wanaume waliobadilisha ume kuwa vagina kushiriki michezo ya wanawake, kupokea wahamiaji kiholela, etc

Mrengo wa kuria (far right, conservatives)
Hawa itikadi zao ni kuishi kwa misingi ilizoeleka tangu mwanzo, mashoga wasiingie jeshini, kazi zipatikane kutokana na uwezo ila sio kubalance jinsio yani 50 kwa 50, kupinga watoto kubadirishwa jinsia, kupinga uhamiaji holela, kuisapoti israel,

Mrengo wa kati🙁centrists)
Hawa unakuta wanaamini katika itikadi zote huku baadhi wakizitupilia mbali

Mfano trump ni mrengo wa kulia

Biden ni kushoto

Mrengo wa kushoto wa mbali ni wale sasa liberals konki kwa mfano ya mafeminists wanaotaka mwanamke anapooolewa asichukue jina la ukoo la mmewe, mwanaume apewe za ya kupika na kulea mtoto, wale nchi zinazopinga gays wapewe vikwazo

Mrengo wa kuria wa mbali ni wale conservatives konki ambao hawataki mmiiko ile ya mababu isiopotee, wanawatenga gays hata kama akiwa mtoto wake, wanawatenga wahamiaji, wanataka abortion iwe crime, etc


Mfano wa nchi ambayo ni mrwngo wa kuria wwa mbali ni Russia

Siku ukitulia tolea maelezo hio misamiati uliyoiandika mrengwa wa kushoto, mrengwa wa kulia, mrengwa mbali, mrengwa katikatigoja
 
Ni sahihi kabisa ulivyosema.hebu fikiria mtu ambaye anaangalia tbc peke yake unaweza kusema tz ni ya kwanza kimaendeleo duniani kumbe 90% ni mahovyohovyo tu.
 
Ni sahihi kabisa ulivyosema.hebu fikiria mtu ambaye anaangalia tbc peke yake unaweza kusema tz ni ya kwanza kimaendeleo duniani kumbe 90% ni mahovyohovyo tu.
Hhahahah kumbe chaliii
 
Mind control. Upo sahihi. Sana. Mungu akinipa uzima nitaleta makala ndefu kiasi kuhusu mind control and human experimentation.
Pia kama umegundua taarifa ya habari imekuwa kama addiction kwenye vichwa vya watu, kila ikifika saa mbili usiku nyumba nyingi unakuta wanaangalia taarifa ya habari.


Huu ni mfano sahihi wa MIND CONTROL
 
Bado upo kwenye dunia ya Vyombo vya habari?
Tuambie una verify habari zako vipi kitoka kwenye hizo media houses?

Mrengo......sio mrengwa.
 
Mkuu Unapo yaita mashirika ya habari kama BBC na CNN kuwa itikadi ya ni mrengo wa kushoto... Please, please think again. Yaani shirika LA baba wa ubeberu kama BBC na CNN wawe 'Wajamaa, communist, au socialist'? Maana hao Ndiyo watu wa mrengo wa kushoto.
 
Tbc ukweli na uhakika pia ni chombo cha habari kisicho na mlengo wowote.
 
Back
Top Bottom