Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na sheli ni kituo cha mafuta😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sheli ni kituo cha mafuta😄
Sawa sasa mleta Mada anasema mrengwaNi mrengo.
Hii IPO mpaka leo Ila kwenye products zingine lubricant oil nadhani
Mkuu nenda kajifunze zaidi kuhusu swala la Mind control, Ni zaidi ya unavyo dhaniSikubaliani na wewe, Tanzania hatukuwa na tv station countrywide zaidi ya ITV.
Mimi nilikuwa na satelite dish kitambo naangalia station za Kenya na Uarabuni lakini ITV ilikuwa unique ndio inakupa taarifa za ndani.
Mind control ni ile mengi kutumika pale ccm ilipoona inakwenda kushindwa uchaguzi ITV ilitumika kuwatisha Watanzania na matukio ya vita ya Rwanda kana kwamba ccm ikipigwa chini nchi itaingia vitani.
Mkuu Primary unasikiliza CNN na BBC? Duh, asee kumbe mimi nipo nyuma sanaKipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC.
Siku ukitulia tolea maelezo hio misamiati uliyoiandika mrengwa wa kushoto, mrengwa wa kulia, mrengwa mbali, mrengwa katikatigoja
Ila umasikini huu! Nilikozaliwa zaidi ya radio Tanzania /TBC hakukuwa na chochote. Television yenyewe mpaka muda huu huwa naikuta kwenye mabanda umiza.Mimi mtoto wa kishua kaka haha
Pia kama umegundua taarifa ya habari imekuwa kama addiction kwenye vichwa vya watu, kila ikifika saa mbili usiku nyumba nyingi unakuta wanaangalia taarifa ya habari.
Huu ni mfano sahihi wa MIND CONTROL
Ufanye hivyo mkuu ili wengine wajifunze piaMind control. Upo sahihi. Sana. Mungu akinipa uzima nitaleta makala ndefu kiasi kuhusu mind control and human experimentation.
naam nitakutag mdau. Tuombe uzima.Ufanye hivyo mkuu ili wengine wajifunze pia