Usipende kuwa mtazamaji wa chombo kimoja cha habari, utapotoshwa vibaya mno


Samahi mkuu, hivi Mrengwa ni neno la kiswahili? maana hii lugha yetu inatambaa na kukua kwa kasi sana. Nielekeze mkuu maana ya neno hilo nimejikuta natoka kwenye mada kwa kutatizwa na hilo neno.
 
Pia kama umegundua taarifa ya habari imekuwa kama addiction kwenye vichwa vya watu, kila ikifika saa mbili usiku nyumba nyingi unakuta wanaangalia taarifa ya habari.


Huu ni mfano sahihi wa MIND CONTROL
ITV ndio imezowesha watu taarifa ys habari saa mbili na mpaka leo tv station inayoangaliwa na watu wengi taarifa ya habari ya saa mbili ni ITV, siyo swala la mind control.

Niliondoka Bongo nikiwa kijana mdogo kufika ughaibuni nimeingia super market ya mtaani kununuwa mkate nauliza blue band iko shelf gani hawanielewi kabisa blue band ndio nini, na by that time sijui kwamba blue band ni brand name tu lakini product ni margarine, ndivyo tulivyo wabongo shoeshine tunajuwa ni Kiwi na dawa ya meno ni colgate.
 
Samahi mkuu, hivi Mrengwa ni neno la kiswahili? maana hii lugha yetu inatambaa na kukua kwa kasi sana. Nielekekeze mkuu maana ya neno hilo nimejikuta natoka kwenye mada kwa kutatizwa na hilo neno.
Ndio mkuu ni either mlengwa au mrengwa, ukurya wangu nashindwa wa kujua ipi ni ipi
 
Samahi mkuu, hivi Mrengwa ni neno la kiswahili? maana hii lugha yetu inatambaa na kukua kwa kasi sana. Nielekeze mkuu maana ya neno hilo nimejikuta natoka kwenye mada kwa kutatizwa na hilo neno.
Ni mrengo.
 
DW is the best soud mnette akikuhoji anapiga msumali kabisa kama alivomfanyia msigwa, Babu Abdallah hivo hivo, yule dada anayeripoti kutoka zanzibar siyo mnafiki kabisa, hata huyu kutoka dodoma alikuwa RFA ni mwamba
 
Unajua maana ya Mind control?

kukariri kama taarifa ya habari lazima iwe ya itv ni mfano wa hilo.

The best way of mind control is repitition.
 
Msisahau kuangalia pia Press TV Iran, huko utajua jinsi tunavyomshushia kipondo Israeli
 
Ukiamua fatilia habari angalia vituo vyote vile.
Aljazeera ukiwaangalia na maigizo yao ya Gaza unacheka sana
 
Hahhaha
 
Na sheli ni kituo cha mafuta😄
 
Ukiamua fatilia habari angalia vituo vyote vile.
Aljazeera ukiwaangalia na maigizo yao ya Gaza unacheka sana
Hahah sana eti unakuta wanahoji mawaziri wa hamas na wanawapatia data za uharibifu na vifo .

Tangulini fisi akamsaidia mbogo kuvuka maji
 
Unajua maana ya Mind control?

kukariri kama taarifa ya habari lazima iwe ya itv ni mfano wa hilo.

The best way of mind control is repitition.
Sikubaliani na wewe, Tanzania hatukuwa na tv station countrywide zaidi ya ITV.

Mimi nilikuwa na satelite dish kitambo naangalia station za Kenya na Uarabuni lakini ITV ilikuwa unique ndio inakupa taarifa za ndani.

Mind control ni ile mengi kutumika pale ccm ilipoona inakwenda kushindwa uchaguzi ITV ilitumika kuwatisha Watanzania na matukio ya vita ya Rwanda kana kwamba ccm ikipigwa chini nchi itaingia vitani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…