Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
Kwa kuongezea, Shetani anaomba kibali kwa Mungu ili amjaribu mwanadamu.

Na Mungu anapotoa kibali maana yake anaamini jaribu hilo wewe unaliweza.

Sasa unapoanza kwenda kwa njia ambazo ni za Miungu ya dunia hii unakuwa unamtia aibu Mungu wa Mbinguni.

Someni manano ya mwanzo ya kitabu cha Ayubu mtaelewa nimachosema.
 
Ya kwamba unachepuka si ndivyo...?
 
Mfalme wa Amani ana kanuni zake . Kama ukizikubali, atatembea na wewe, ukizikataa , hatokuwa pamoja na wewe.

Yesu ni Mtakatifu mno anayewapenda watenda dhambi wapate kutubu na kubadilika.
 
Back
Top Bottom