Usipitishe pesa yako yoyote NBC. Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
3,886
Reaction score
9,027
Kichwa kinajieleza.

Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are doing.

Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account kutoka kwenye account ya internal ya hizo bank tajwa...?
Wanakwambia maswala ya swift, from internal transaction kweli..?

NBC branding ni kubwa kuliko huduma mnazotoa.
Shame on you.
 
moja ya shida ya NBC ni maamuzi, haya matawi ya chini mameneja wake hawajapewa kufanya maamuzi (hata yale ya kawaida) wao n kusikiliza juu watasema nini

mikopo mingi, huchelewa kwa sababu ya mlolongo mrefu wa maamuzi
 
Ni benki la ******* hili, pumbavu.
 
Kichwa kinajieleza.
Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are doing.
Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account kutoka kwenye account ya internal ya hizo bank tajwa...?
Wanakwambia maswala ya swift, from internal transaction kweli..?
NBC branding ni kubwa kuliko huduma mnazotoa.
Shame on you.
Wanakuonea tu wewe masikini nakusikitikia
 
Back
Top Bottom