Ni benki la ******* hili, pumbavu.moja ya shida ya NBC ni maamuzi, haya matawi ya chini mameneja wake hawajapewa kufanya maamuzi (hata yale ya kawaida) wao n kusikiliza juu watasema nini
mikopo mingi, huchelewa kwa sababu ya mlolongo mrefu wa maamuzi
They make me broke bro, all i ever done wrong was trust on their services.Pole sana
DCB vipimoja ya shida ya NBC ni maamuzi, haya matawi ya chini mameneja wake hawajapewa kufanya maamuzi (hata yale ya kawaida) wao n kusikiliza juu watasema nini
mikopo mingi, huchelewa kwa sababu ya mlolongo mrefu wa maamuzi
Wanakuonea tu wewe masikini nakusikitikiaKichwa kinajieleza.
Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are doing.
Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account kutoka kwenye account ya internal ya hizo bank tajwa...?
Wanakwambia maswala ya swift, from internal transaction kweli..?
NBC branding ni kubwa kuliko huduma mnazotoa.
Shame on you.
Soma vizuri uelewe na wewe, acha kukurupuka.Equity umewaonea, hawana mbaya
Usenge tu yaani.Wanakuonea tu wewe masikini nakusikitikia