excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,954
Hii kesi iko kati ya mwalimu, wanafunzi na mkuu wa shule.. mkali nani?
MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu
Mkwawa?
MWANAFUNZI 1; Sio mimi
MWANAFUNZI 2: Jana sikuja shule
MWANAFUNZI 3:Mwalimu kwa kweli sie
unatuonea....baada ya mwalimu kuona
darasa zima ni vilaza akaamua
kumtaarifu mwalimu mkuu kuwa
darasa zima wanashindwa kumtaja
aliyemuuwa Chief Mkwawa, ambaye
naye akaja kwa ukali
MWALIMU MKUU: Nani aliyemuua Chifu
Mkwawa? Msipojibu humu ndani
patawaka moto...darasa zima
wakaanza kulia
DARASA:Mwalimu sio sisi
Mwalimu Mkuu akamgeukia mwalimu
wake;
MWALIMU MKUU: Mwalimu una uhakika
huyu muuwaji yuko darasani humu?!!!
dont play with big results now!!
MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu
Mkwawa?
MWANAFUNZI 1; Sio mimi
MWANAFUNZI 2: Jana sikuja shule
MWANAFUNZI 3:Mwalimu kwa kweli sie
unatuonea....baada ya mwalimu kuona
darasa zima ni vilaza akaamua
kumtaarifu mwalimu mkuu kuwa
darasa zima wanashindwa kumtaja
aliyemuuwa Chief Mkwawa, ambaye
naye akaja kwa ukali
MWALIMU MKUU: Nani aliyemuua Chifu
Mkwawa? Msipojibu humu ndani
patawaka moto...darasa zima
wakaanza kulia
DARASA:Mwalimu sio sisi
Mwalimu Mkuu akamgeukia mwalimu
wake;
MWALIMU MKUU: Mwalimu una uhakika
huyu muuwaji yuko darasani humu?!!!
dont play with big results now!!