Usipocheka hapa ni-pm nikurushie vocha!!.. Sijui kilaza nani hapa?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,954
Hii kesi iko kati ya mwalimu, wanafunzi na mkuu wa shule.. mkali nani?

MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu
Mkwawa?
MWANAFUNZI 1; Sio mimi
MWANAFUNZI 2: Jana sikuja shule
MWANAFUNZI 3:Mwalimu kwa kweli sie
unatuonea....baada ya mwalimu kuona
darasa zima ni vilaza akaamua
kumtaarifu mwalimu mkuu kuwa
darasa zima wanashindwa kumtaja
aliyemuuwa Chief Mkwawa, ambaye
naye akaja kwa ukali
MWALIMU MKUU: Nani aliyemuua Chifu
Mkwawa? Msipojibu humu ndani
patawaka moto...darasa zima
wakaanza kulia
DARASA:Mwalimu sio sisi
Mwalimu Mkuu akamgeukia mwalimu
wake;
MWALIMU MKUU: Mwalimu una uhakika
huyu muuwaji yuko darasani humu?!!!



dont play with big results now!!
 
Mh! ss mbn ht haichekeshi..nakudai vocha yangu sshv nirushie
 
kumbe hata mwalimu mkuu wao naye kilaza.... mmmmmhhhh mmbona majaaaaanga
 
walimu feki, mitaala feki, vitabu feki
 
duuuu haya majanga sasa,kumbe walimu wanakuwa wakali ili wafiche ujinga wao heeee
 
Ndo kwanza imeniongezea ghadhabu
 
majanga tu majanga seven yanaendelea oh oh!
Nalog off
 
ahahahaj huyo c mwalim mkuu dah! kwa mwendo huo hd dv7 ahahah mzuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…