USIPOELEWA NA HAPAA NAFUTA THREAD

USIPOELEWA NA HAPAA NAFUTA THREAD

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
23
Reaction score
20
Ninaandaa mpango wangu WA BIASHARA Kisha naanza kuifanya baada ya kuona Sina kiwango Cha kutosha

Natangaza watu wanao WEZA kudhamini BIASHARA yangu Kwa makubaliano ya kugawana faida

Kwa hiyo kutokana na kwamba namimi nimeweka mtaji namimi nakuwa mmiliki wa kampuni

Na nakuwa na Baadhi ya haki mfano kuhudhuria kwenye mikutano
Kutoa mapendekezo ya wapi mkutano unafanyika

Kujua kampuni unaendeshwaje

Hicho kitu ndiyo tunaiita HISA

Mfano CRDB inamilikiwa na wanahisa Kwa Kila mtu na kiwango chake

Soko letu Kwa Tanzania linaitwa DSE(Dar es salaam Stock Exchange)
Hili soko tunauziana fedha

Halina utofauti na masoko mengine kama karia koo

Ukiwa tu na uwezo wa kumudu HISA 10 unaruhusiwa kumiliki KAMPUNI na utaitwa MWANAHISA/MBIA

Mfano Leo HISA ya CRDB ilikuwa 670
Hisa kumi unachukua 670×10=6700

NMB ni 5350
Hisa kumi ni 5300×10=53500

TBL ni 10400
Hisa kumi ni 104000
Naimani umepata kitu

Bila shaka umepata kitu

Tutaenderea kesho kwanini ni muhimu kujua hii elimu ya HISA

Mwakawasila
0744980339
 
Nimekupata vyema mkuu. Vipi kuhusu government bond? Yaani serikali haina hela mpaka ikope kwa raia zake kwa ajili ya uwekezaji?
 
Back
Top Bottom