Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

Peleka haya mambo jukwaa la vichekesho.
 
-- kuhadithia movie za akina kanumba.
-- kuvaa suruali ya kitambaa ndani umevaa bukta.
_ kuweka makaramu( makalamu) mengi mfuko wa shati.
-- kuvaa T-shirt lenye mapicha picha.
-- mkanda wa bakoz ni upi?
Hebu fafanuwa hyo heshima utaivunja vipi?
 
Bila shaka hili ni jiwe gizani[emoji3][emoji3] pole dear fashionista! Kuna kadada kwenye daladala kamevaa hiyo jeans haina sehemu za mapaja kabisa khaa hizi swagger bana wanawake wa mikoani tunapata tabu sana kuelewa[emoji3]
Wala hata mie sio fashionista, ila zkusema tu kuhusu hivo wahusika ndo wanajibu hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…