Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

-KUWA MFUASI WA CCM
Nakuunga mkono kabisa, huku nilipo wafuasi wa CCM wanaonekana walia njaa tu. Wakipita ni watu wa kawaida sana sana mtaani. Sijui kwanini wakipita chadema wana ka heshima fulani hivi.
 
Bila shaka hili ni jiwe gizani[emoji3][emoji3] pole dear fashionista! Kuna kadada kwenye daladala kamevaa hiyo jeans haina sehemu za mapaja kabisa khaa hizi swagger bana wanawake wa mikoani tunapata tabu sana kuelewa[emoji3]
Hujashika paja? Oooh kumbe wewe ni bidada! Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi [emoji22][emoji22]
 
Kumtongoza mtoto mdogo, hii inakuwa umekalia kuti kavu.
 
Kufuatilia maisha ya watu
 
hao wote uliowataja hapo wanaheshimika kuliko mwanaume choko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…