mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mkanda wa bakoz ni upi?Ushawahi kufanya kipi kati ya hivyo kwa kuanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkanda wa bakoz ni upi?Ushawahi kufanya kipi kati ya hivyo kwa kuanzia
Nakuunga mkono kabisa, huku nilipo wafuasi wa CCM wanaonekana walia njaa tu. Wakipita ni watu wa kawaida sana sana mtaani. Sijui kwanini wakipita chadema wana ka heshima fulani hivi.-KUWA MFUASI WA CCM
Hapo crdb bank jirani na barabara ya mbeya rukwa[emoji41]Soko gani mkuu[emoji3][emoji3]
Kweli uko vizuri mkuu!nilikua hapo sasa hivi pia😀Hapo crdb bank jirani na barabara ya mbeya rukwa[emoji41]
Hujashika paja? Oooh kumbe wewe ni bidada! Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi [emoji22][emoji22]Bila shaka hili ni jiwe gizani[emoji3][emoji3] pole dear fashionista! Kuna kadada kwenye daladala kamevaa hiyo jeans haina sehemu za mapaja kabisa khaa hizi swagger bana wanawake wa mikoani tunapata tabu sana kuelewa[emoji3]
Nashikaje paja la mdada mwenzangu mkuu😀😀 i can't imagine ungekua ndiye wewe 🙌Hujashika paja? Oooh kumbe wewe ni bidada! Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi [emoji22][emoji22]
Niambie Babu mawe!Mama lao
Kufuatilia maisha ya watu-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi
Mengine mtaendeleza nyie
Poa sana!vipi weweWeekend inaendaje
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Heshima gani tena jamani!!