Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa
Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu imekwisha ni vumbi nyumba nzima afu madirisha ya mbao 😭😭😭😭
Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu imekwisha ni vumbi nyumba nzima afu madirisha ya mbao 😭😭😭😭