Usipokuwa makini Unaweza pata Mikosi, mabalaa na magonjwa Chooni!

Usipokuwa makini Unaweza pata Mikosi, mabalaa na magonjwa Chooni!

Inategemea choo na choo. Wengine hukaa chooni hadi anafanya tafakari ya mambo mengine 🤣🤣🤣
 
Kuna vyoo afu kuna washrooms. Mkijenga jengeni washrooms sio tuvyoo twa ajabu ajabu hadi wenyewe mnaogopa kuingia. Mizungu sio mijinga kujenga nyumba zenye more bathrooms than bedrooms, bongo unakuta nyumba moja tena ya kupanga yenye wapangaji kumi ila choo kimoja hapo lazima uone mauzauza yote na magongwa kama yote.

Washroom ikiwa kubwa, nzuri na safi huhitaji hayo masharti kama mganga sijui ingia kwa mguu gani sijui omba dua as though unaenda vitani. Ni usafi tu.

Lastly, nothing beats shower sex. It's fresh as fvck 😉

527f56c3-6ed0-44cb-b923-a5dd098cdffe6.jpeg
 
hivi waafrika tuna nini lakini mbona mambo mabaya yote kwetu iweje chooni pasiwe zsehem utakayoweza jisaidia taka za mwili wako na ukaenjoy et pawe sehem za mikosi na mabalaa
 
Back
Top Bottom