Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Hatamu ama lijamu...?? Zama za chama kushika hatamu siyo hizi!Kumbuka kwamba CHAMA kinashika HATAMU, jee unajuwa maana ya HATAMU?
ukishajuwa maana ya hilo neno utaelewa ni kwanini Raisi wa Jamhuri lazima awe mwekiti .....
Hapa sema chama kimeshika utamu.