Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Jun 16, 2024 Thread starter #41 kifukumkunyi said: Kumbuka kwamba CHAMA kinashika HATAMU, jee unajuwa maana ya HATAMU? ukishajuwa maana ya hilo neno utaelewa ni kwanini Raisi wa Jamhuri lazima awe mwekiti ..... Click to expand... Hatamu ama lijamu...?? Zama za chama kushika hatamu siyo hizi! Hapa sema chama kimeshika utamu.
kifukumkunyi said: Kumbuka kwamba CHAMA kinashika HATAMU, jee unajuwa maana ya HATAMU? ukishajuwa maana ya hilo neno utaelewa ni kwanini Raisi wa Jamhuri lazima awe mwekiti ..... Click to expand... Hatamu ama lijamu...?? Zama za chama kushika hatamu siyo hizi! Hapa sema chama kimeshika utamu.