Usipomtongoza Mwanamke Umtakaye ujue Umejipiga chaga Mwenyewe

Tunachangia san ila ni mapenz kila kona yaan ni wanawake mwanzo mwisho ndo maan mnauziwa mpaka kwenye ndoa
inaonekana watu wengi wanapata changamoto kwenye suala la mapenzi kuliko kazini na vitu vingne ndio maana mada za mapenzi ni nyingi
 
[emoji3] ulishawahi kujaribu? Ila ni wazo zuri. hofu zetu tu[emoji3]
Nimefanya hivyo mara kibao, ila mzazi awe Maza akiwepo mshua usifanye ufala huo,

Unamwambia mama yake Binti kwa nidhamu baada ya kuwasalimia wote, Samahani mama naomba niongee na binti yako hapa hapa, akikubali unamuomba namba Ili badae muwasiiane mtapanga siku mkutane muongee kwa marefu akiwa hayupo mama,

Halafu changanya na zako uacha ufala.
 
[emoji38][emoji38]fala mwenyewe
 
Back
Top Bottom