Usipuuze naomba ushauri wako wa hali na mali

Usipuuze naomba ushauri wako wa hali na mali

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.

Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
 
Unadanganywa na wewe una kubali.amesema mshahara laki 5.kazini ana mwaka mmoja.alaf hajasema hizo mil 28 kazipata vipi.
Sisi hatuangalii kapataje...alikopata anajua mwenyewe!! Wenda kapata za urithi...au kauza nyumba...au kapewa who knows??
 
Pesa huwa zinakasumba fulan hivi!!, kama ni mara yako ya kwanza? Pesa huwa zinawasha bila wewe kujua kwamba zina kuwasha, mgano wake nikama ambavyo umuonavyo mto mwenye chawa nyingi, nikujikuna hovyo!!* Sasa bwana mdogo kuwa makini sana, nijuavyo mimi pesa huwa inakama akili vile!" Pesa ina vishawishi sana' pesa ina jenga maadui wengi, na kujikuta umebaki na wale wenye kujua namna ya kutafuna pesa, cha kufanya!!, na huu ndio ushauri mwena kwako,, Nikweli naamini bado una umri mdogo,, cc kikwetu huwa tunaambiwa na wazee wetu pindi tu upatapo pessa!!: Ziache pesa zipoee!! Na akili ituliee!!" Baada ya muda fulani nawe utajuwa umetulia kiakili,, na litakuwa sio jambo gene kwako, KUNA MTU AMEKUSHAURI VYEMA SANA, KAKWAMBIA TAFUTA BANK YENYE RIBA NZURI, NA UIWEKE PESA YAKO HUKO KAMA MWAKA 1 hivi!" anania nzuri sanA kwko,
 
Kaweke fixed account hiyo 28 mil ...usikope hiyo 15. Mwaka huu miezi iliyobaki fanya utafiti kitu gani unaweza fanya na unachoweza simamia mwenyewe kwa ukaribu sio kumwachia mtu....be patient!... kipindi hiki cha magu watu wengi wanauza asset zao .....anaweza tokea mtu anauza nyumba mil 18-23 inayofaa kupangisha!
 
Dumbua baba.... tembeza cassava kwa totoz.
Gonga monde.

Hakuna maisha zaidi ya ayo.... lazima umuwahi anayekuvizia.... dunia ni timing... we unawaza utajiri huku izlaer anawaza roho yako..... shauri ako.
 
Google "forex"!
Dont get too intimate with what financial porn adverts tell u on net..utapotea!!! ungetumia muda huo kugoogle percent ya wamarekani wanao engage kwa scam ka iyo..then how many got luck n how many went kaboooom[emoji378] [emoji378] [emoji379] ungejua why up to now hujaweza shika amount ka iyo na kama ungeipata u only could lost t in a blink brah
 
Kuna biashara/kazi ambayo haina loss?
 
Back
Top Bottom