Usipuuze naomba ushauri wako wa hali na mali

Usipuuze naomba ushauri wako wa hali na mali

Ushauri mwingi unaopewa ni wa kuweka hela bank,fixed acc n blahblah..unachotakiwa ufahamu ni kuwa savers are losers in todays world..currencies r app n depreciatin in every wink v a clock sasa kwann uweke pesa bank dogo..clever investors save to invest not jst to save for the sake v saving..CHA KUFANYA: umeajiriwa umesema na unalipwa 5k..meanin u av a proffesion..unataka uendelee kuwa mfanyakazi?????..fungua ofic kama ya boss wako upige mzigo dogo..frm there more opportunities will show up..stay in da game!!!
 
Pesa huwa zinakasumba fulan hivi!!, kama ni mara yako ya kwanza? Pesa huwa zinawasha bila wewe kujua kwamba zina kuwasha, mgano wake nikama ambavyo umuonavyo mto mwenye chawa nyingi, nikujikuna hovyo!!* Sasa bwana mdogo kuwa makini sana, nijuavyo mimi pesa huwa inakama akili vile!" Pesa ina vishawishi sana' pesa ina jenga maadui wengi, na kujikuta umebaki na wale wenye kujua namna ya kutafuna pesa, cha kufanya!!, na huu ndio ushauri mwena kwako,, Nikweli naamini bado una umri mdogo,, cc kikwetu huwa tunaambiwa na wazee wetu pindi tu upatapo pessa!!: Ziache pesa zipoee!! Na akili ituliee!!" Baada ya muda fulani nawe utajuwa umetulia kiakili,, na litakuwa sio jambo gene kwako, KUNA MTU AMEKUSHAURI VYEMA SANA, KAKWAMBIA TAFUTA BANK YENYE RIBA NZURI, NA UIWEKE PESA YAKO HUKO KAMA MWAKA 1 hivi!" anania nzuri sanA kwko,
Asante sn mkuu tabash kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Kaweke fixed account hiyo 28 mil ...usikope hiyo 15. Mwaka huu miezi iliyobaki fanya utafiti kitu gani unaweza fanya na unachoweza simamia mwenyewe kwa ukaribu sio kumwachia mtu....be patient!... kipindi hiki cha magu watu wengi wanauza asset zao .....anaweza tokea mtu anauza nyumba mil 18-23 inayofaa kupangisha!
Nashukuru sn mkuu kwa ushauri wako nitauzingatiaa
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.

Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
Moderator mkiendelea kuchekea hawa wazushi mtajitia aibu , angalieni uzi alioanzisha leo huyu dogo
 
Mkuu nunua hisa za tcc kampuni ya sigara
Mwisho utaja tushukuru maana tutakusahau mzee
Na baada ya miaka 2 utakuja na mawazo halisi ya kuitumia pesa hiyo
 
Hana hata senti moja ni masikini wa kutupwa ! ameanzisha uzi mwingine anaomba nauli ya kurudi kwao .
mkuu umenichekesha sana hapa mpk watu wananisema hizi simu zitatupeleka pabaya yaan nipo kwenye meeting mpaka nimeona noma
ila dogo kazingua sana yaan nimejipinda huko nimetoa bonge la ushauri halafu kuja kuona hii sasa sijui imekuaje leo hata nauri ya kurudi kwao hana analialia itakuwa kaweka heshima bar
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadeki hatari sana
 
mkuu umenichekesha sana hapa mpk watu wananisema hizi simu zitatupeleka pabaya yaan nipo kwenye meeting mpaka nimeona noma
ila dogo kazingua sana yaan nimejipinda huko nimetoa bonge la ushauri halafu kuja kuona hii sasa sijui imekuaje leo hata nauri ya kurudi kwao hana analialia itakuwa kaweka heshima bar
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
pole mkuu humu jf mnapaswa kuwa makini sana , sidhani hata kama umri wake ndio huo anaounadi kinaweza kuwa kizee kabisa !
 
Kama kazi ya laki 5 ndo kazi nzuri kwake basi huyu hamna kitu, hana hata mia, hyo M28 kairopoka tu
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.

Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
ingekua vizuri tujue upo mkoa gani coz fursa zinatofautiana kila mkoa,kwa mbeya ungeweza ata kununua kiwanja na hela ikabaki nyingi tuu kwa shuguli zingine ila kwa Dar aiwezekani.
Biashara zipo nyingi sana. mfano,Bag za kike za mtumba,unaweza nunua bajaj,ukafungua m-Mpesa nzuri tuu,ukauza boxer za kiume jumla,simu na vifaa vyake...
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.

Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
Acha uongo ww! Sio ww bendui sijui bandidu umeweka uzi kwenye jukwaa la habar na hoja mchanganyiko unalia lia eti umepoteza dira ya maisha ? uzii wenyewe huu apa chini kwenye picha! Mara una 23 yrs mara 26 years we mtu gan una miaka miwili tfoaut, ss kabla sijakusaidia eleza kivipi una miaka 26 na 23 kwa wakat mmoja na hizo m28 ulivyozipata!😕😕😕😕
EF9D49D6-0457-46B6-8751-C27237AC94CF.png
EF9D49D6-0457-46B6-8751-C27237AC94CF.png
EF9D49D6-0457-46B6-8751-C27237AC94CF.png
 
Sitoi tena ushauri kizembe yani me nimejipinda afu mtu ananichora dadeqi
 
Acha uongo ww! Sio ww bendui sijui bandidu umeweka uzi kwenye jukwaa la habar na hoja mchanganyiko unalia lia eti umepoteza dira ya maisha ? uzii wenyewe huu apa chini kwenye picha! Mara una 23 yrs mara 26 years we mtu gan una miaka miwili tfoaut, ss kabla sijakusaidia eleza kivipi una miaka 26 na 23 kwa wakat mmoja na hizo m28 ulivyozipata!😕😕😕😕View attachment 860608View attachment 860608View attachment 860608
Huoo uzii niliandikaa mudaa mrefu kdg hlf kuhusu maisha kunakupanda na kushukaa mkuu nilishabahatika kushika hz pesaa tn mkono na nikaja hk hk jf kuomba ushauri wengi wakanibezaa so nimejifunzaa vingi mkuu km unataka kufaham nilizipataje nirusu niku pm hlf urudishee majibu hk mkuu ila mistake kubwa niliyoifanya sikulata mshauri mzuri
 
Back
Top Bottom