james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuu kwa ushauri ikishindikan nitajarab kufanya hivyokanunue bond za bank baada ya miaka miwili utapata faida na akili itakuwa imepata cha kufanya
Asante mkuu buffalo kwa wazo lako nitalizingatiaaMkuu weka bank siku ukipata wazo lenye hesabu za kueleweka zitoe ulisukume
Yani ningezipata ndani ya wiki mbili ningekua milionea!!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.
Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
Asante mkuu buffalo kwa wazo lako nitalizingatiaa
Sisi hatuangalii kapataje...alikopata anajua mwenyewe!! Wenda kapata za urithi...au kauza nyumba...au kapewa who knows??Unadanganywa na wewe una kubali.amesema mshahara laki 5.kazini ana mwaka mmoja.alaf hajasema hizo mil 28 kazipata vipi.
How? Unaweza kutuambia wazo lako mkuu...Yani ningezipata ndani ya wiki mbili ningekua milionea!!
MuhimArdhi mkuu nunua ardhi haiozi sijaona iliyemwangusha! Trust me. .
Google "forex"!How? Unaweza kutuambia wazo lako mkuu...
Mbona mshahara wake kataja.kwanini ashindwe kutaja alipozitoa?tutamkaba?Sisi hatuangalii kapataje...alikopata anajua mwenyewe!! Wenda kapata za urithi...au kauza nyumba...au kapewa who knows??
Asante thegentelman kwa ushauri wako nitazingatiapeleka bank ukaitoe baada ya mwaka..
utapata faida kdgo.
utakuwa imetuliza akili umechunguza fursa mpya
Dont get too intimate with what financial porn adverts tell u on net..utapotea!!! ungetumia muda huo kugoogle percent ya wamarekani wanao engage kwa scam ka iyo..then how many got luck n how many went kaboooom[emoji378] [emoji378] [emoji379] ungejua why up to now hujaweza shika amount ka iyo na kama ungeipata u only could lost t in a blink brahGoogle "forex"!
Kuna biashara/kazi ambayo haina loss?Dont get too intimate with what financial porn adverts tell u on net..utapotea!!! ungetumia muda huo kugoogle percent ya wamarekani wanao engage kwa scam ka iyo..then how many got luck n how many went kaboooom[emoji378] [emoji378] [emoji379] ungejua why up to now hujaweza shika amount ka iyo na kama ungeipata u only could lost t in a blink brah