Usipuuze naomba ushauri wako wa hali na mali

Ushauri mwingi unaopewa ni wa kuweka hela bank,fixed acc n blahblah..unachotakiwa ufahamu ni kuwa savers are losers in todays world..currencies r app n depreciatin in every wink v a clock sasa kwann uweke pesa bank dogo..clever investors save to invest not jst to save for the sake v saving..CHA KUFANYA: umeajiriwa umesema na unalipwa 5k..meanin u av a proffesion..unataka uendelee kuwa mfanyakazi?????..fungua ofic kama ya boss wako upige mzigo dogo..frm there more opportunities will show up..stay in da game!!!
 
Asante sn mkuu tabash kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Nashukuru sn mkuu kwa ushauri wako nitauzingatiaa
 
Moderator mkiendelea kuchekea hawa wazushi mtajitia aibu , angalieni uzi alioanzisha leo huyu dogo
 
Mkuu nunua hisa za tcc kampuni ya sigara
Mwisho utaja tushukuru maana tutakusahau mzee
Na baada ya miaka 2 utakuja na mawazo halisi ya kuitumia pesa hiyo
 
Hana hata senti moja ni masikini wa kutupwa ! ameanzisha uzi mwingine anaomba nauli ya kurudi kwao .
mkuu umenichekesha sana hapa mpk watu wananisema hizi simu zitatupeleka pabaya yaan nipo kwenye meeting mpaka nimeona noma
ila dogo kazingua sana yaan nimejipinda huko nimetoa bonge la ushauri halafu kuja kuona hii sasa sijui imekuaje leo hata nauri ya kurudi kwao hana analialia itakuwa kaweka heshima bar
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadeki hatari sana
 
pole mkuu humu jf mnapaswa kuwa makini sana , sidhani hata kama umri wake ndio huo anaounadi kinaweza kuwa kizee kabisa !
 
Kama kazi ya laki 5 ndo kazi nzuri kwake basi huyu hamna kitu, hana hata mia, hyo M28 kairopoka tu
 
ingekua vizuri tujue upo mkoa gani coz fursa zinatofautiana kila mkoa,kwa mbeya ungeweza ata kununua kiwanja na hela ikabaki nyingi tuu kwa shuguli zingine ila kwa Dar aiwezekani.
Biashara zipo nyingi sana. mfano,Bag za kike za mtumba,unaweza nunua bajaj,ukafungua m-Mpesa nzuri tuu,ukauza boxer za kiume jumla,simu na vifaa vyake...
 
Acha uongo ww! Sio ww bendui sijui bandidu umeweka uzi kwenye jukwaa la habar na hoja mchanganyiko unalia lia eti umepoteza dira ya maisha ? uzii wenyewe huu apa chini kwenye picha! Mara una 23 yrs mara 26 years we mtu gan una miaka miwili tfoaut, ss kabla sijakusaidia eleza kivipi una miaka 26 na 23 kwa wakat mmoja na hizo m28 ulivyozipata!πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Sitoi tena ushauri kizembe yani me nimejipinda afu mtu ananichora dadeqi
 
Huoo uzii niliandikaa mudaa mrefu kdg hlf kuhusu maisha kunakupanda na kushukaa mkuu nilishabahatika kushika hz pesaa tn mkono na nikaja hk hk jf kuomba ushauri wengi wakanibezaa so nimejifunzaa vingi mkuu km unataka kufaham nilizipataje nirusu niku pm hlf urudishee majibu hk mkuu ila mistake kubwa niliyoifanya sikulata mshauri mzuri
 
asante kwa kumstukia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…