a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana.
Mambo yote yanayotokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili.
Mwili hupata taarifa ya yale yatakayotokea mbeleni kupitia
a) Ndoto unazoota unapokuwa umelala.
Njia nyingine ya kupata taarifa kuhusu yatakayotokea mda mchache ujao au siku chache zijazo mbeleni ni kupitia
b) Kuhisi moyo kuwa either na furaha,amani,mwepesi,msukumo wa kufanya na kutimiza jambo au kinyume chake kuhisi moyo mzito,unasita,hofu,huzini,kukosa amani na msukumo wa kutekeleza jambo au kuwepo eneo fulani au kuendelea kikamilisha jambo.
njia nyingine ya tatu ni
c) Kusikia sauti inakuambia kabisa moyoni au roho inakuambia au kitu kinakiambia moyoni usite kukamilisha kutekeleza jambo au usiwepo eneo fulani,kama unasikia kutahadhatishwa.
Wakati mwingine taarifa hizi katika ulimwengu wa roho unaweza ukazipata kwa njia mojawapo au njia zote tatu ili kusisitiza kutilia mkazo.
Mfano ndoto unaweza kuota ndoto aina moja iwe mbaya au nzuri zaidi ya mara moja hata mpaka mara tatu ndani ya usingizi mmoja /siku moja kila ukishtuka usingizini ukilala tena unaota tena ndoto ileile ,au inajirudia aina hiyohiyo ya ndoto siku tofauti.
Inaweza ikaambatana na kuhisi hisia za huzuni moyoni au furaha moyoni,na kusikia sauti ikikuonya moyoni./rohoni.
Na mfano unaota unapigana ukishtuka uzingizini unajikuta una michubuko ama alama vile vile na maeneo yale yale kama ulivyokuwa unaota ndotoni.
LENGO LA HIZO TAARIFA unazozipata katika ulimwengu wa roho kupitia ndoto ni nini?
Ili uchukue hatua ya either kuomba Mungu/Yesu Kristo akuepushe na hatari iliyoko mbeleni.Pia wakati mwingine ndoto inakupa picha ya maisha yako ya dhambi,maana dhambi ni mauti,fhambi inafungua mlango wa roho za mauti kukuingia. Ili uache ujirekebishe uache kuishi chini ya dhambi,utubu na uombe ulinzi wa Mungu akuepushe na mabaya yaliyokusudiwa kukupata mbeleni.
Baadhi ya aina za ndoto chache ambazo sio nzuri
1) Kuota upo makaburini, kuona majeneza, umekufa, unazikwa(roho ya mauti inakuandama)
2) Kuota unakimbizwa na watu wanaotaka kukudhuru, au wanayama(roho ya mauti)
3) Kuota unapigwa, unapigana na ukapigwa ukapata majeraha(unashambuliwa na adui ulimwengu wa giza unakushambilia wachawi, mizimu, mapepo
4) Kuota uko uchi huna nguo, umepaka kinyesi, umebeba mizigo mizito unaachwa na gari, ina mavazi machafu meusi, unaishi una nyumba porini au nyumba kukuu, unaanguka shimoni, kwenye giza, unaanguka chini, upo gizani, mavazi meusi (utubu na kuacha dhambi)
5)Kuota UNAZINI ndotoni, unafunga ndoa, unavalishwa pete, unazaa, unanyonyesha(Ndoa za majini mapepo, umeolewa kuoa na maroho machafu)
6) Kuota umebeba mizigo mizito unataka kupanda gari unashindwa umeachwa na gari kwa sababu ya mizigo mizito uliyobeba(acha dhambi tubu)
7) Kuota umerudi kusoma madarasa ya nyuma ukiyokwisha yasoma na kuvuka hiyo level au unasoma level hiyo hoyo, unaanguka chini, unateleza, unakimbia lakini huogei (roho ya kurudisha nyuma maendeleo yako)
8)Kuota unapokonywa nguo, viatu, mavazi, pesa(unaibiwa nafasi yako unafanyiwa ushirikina roho wachafu
9)Kuota unalishwa unakuka kunywa chakula (unafanyiwa vitendo vya kishirikina vinavyokuingiza katika maagano mabaya na maroho machafu)
Zipo nyingi hizi ni badhi tu.
Baadhi ya ndoto nzuri
1) Kuota una nyeshewa mvua ,mvua inanyesha(baraka ustawi kufanikisha jambo)
2) Kuota unavuna shamba mavuno matunda,mazao,wanyama wako wamezaa(baraka kustawi kufanikisha jambo)
3) Kuota umevaa mavazi meupe,(matendo yako toba umesamehewa dhambi)
4) Kuota unafua nguo zako na kuoga mana yake (unasafisha matendo yako utapata neema ya kusamehewa dhambi zako)
5) Unavalishwa nyota begani,kofia unapata cheo nk
6) Umepigana vita ukamshinda adui ndotoni (umemshinda adui falme za giza Mungu amekusaidia
zipo nyingi mifano baadhi tu
NINI KIFANYIKE UNAPOPATA TAARIFA HASA NDOTO MBAYA.
1) SALI OMBA YESU akuokoe akusaidie,ni Yesu pekee anayeweza kutuokoa na kutuepusha na hatari zote.
2) Kutubu na kuacha dhambi, mana dhambi zinafungua mlango wa nguvu za giza kupata uhalali wa kikushambulia.Bila kusali tunakosa ulinzi wa Mungu.