Usipuuze ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala

Hizi tabiri na maana zake ni za mtu mmoja maana hazibadiliki?
zipo tofauti 1)kuna anayeota anasoma madara ya nyuma (kurudishwa nyuma maendeleo)
2)kuna anyeota anajisadia kinyesi,amekanyaga au kupakwa kinyesi(anakusudiwa apatwe aibu ,roho ya kuaibishwa)
3)kuna anayeota anapigana akashinda(yupo kwwnye vita na adui akishinda mana atawashinda adui zake kwa neema ya Mungu)
4)kuna anayeota anakutana na wafu(ROHO ZA MIZIMU roho za uharibifu mizimu ni majini,mapepo ya ukoo
5)kuna anyeota anakota pesa n.k
zipo tofauti lakini kama ni shambukizi la adui shetani na jeshi lake/mawakala wake ni serikali moja ufalme wa giza ,zote ni ROHO ZA UHARIBIFU ndio mana unaona kama zinafanana mana lengo la adui ni kuharibu,kuiba kutoka kwako baraka zako(nyota),kuchinja ,na kuua(kukuchukua msukule)au uishinmaisha ya dhiki uteseke usifanikiwe udumae usipige hatua.
ndio mana unaona kama zina fanana.
 
S
Kuna watu ambao huota ndoto za kweli mara kwa mara..hapo unaweza fatilia. Sasa mwenzangu na mie ndoto hazina maana yoyote na wakati mwingine hata hukumbuki umeota nini ujichoshe kuzifatilia. Lazima uwe mwehu namkwambia.

Wanaoweza kufatilia ndoto ni wafuasi wa mwamposa/kiboko ya wachawi and the like.
Siku ukianza kutoa kipaumbele kwa ndoto utaacha kuota ndoto za ovyo, na ukizoota ukiamka utakuwa umezisahau ,
 
Watakwambia ukiota umeokota hela maana yake kuna adui anakunyemelea, shetani yupo kazini zidisha maombi
Ndoto huwa haifatioiwi... Ndoto kama inamaaa itakufata yenyewe mara nyingi mpk ichukue attention yako, kufatiliza fatiliza ndoto ndo chanzo cha watu kuwa wachawi!!!

Mm ni spiritual master najua madhara yake... Maana ndoto zinaelim pana, kabla hujaifatiliza lazima ujue imetoka wapi
A.Mungu
B.shetani
C.mawazo yako

Sasa usipokuwa na elim bora usizifatilize kaa zako tu hvyohvyo ndo salama yako hiyo.... Kama Kuna ujumbe Mungu anataka kukupa ndoto itajirudia mara nyingi, nje ya hapo shikilia msimamo wako n mzuri🚶
 
Upo sahihi mtaalam. Usipokuwa na elimu utachizika kuzifatilia.
Na ni kweli unavyosema kuna ndoto ambayo ukiota inakufanya uanze kuitafakari lakini nyingine zinapita tu.
 
1)kuota unapigana mana upo katika vita/mapambano na adui ,ukishinda maana yake Mungu akupa neema kwa uwezo wa Mungu umeshinda hiyo vita.(nzuri)ila lazima uji imarishe ulinzi wa kiroho kwa kuongeza ,kusali/kuomba,sadaka,matendo mema, ibada,na kumcha Mungu na kuziepuka dhambi,mana ukiendelea kuishi katika dhambi ni kuruhusu /kifungulia adui mlango wa kukusahambulia.
2)kuota unapaa ina maana a)una speed mbio kubwa umeshinda zaidi na nguvu zaidi,hatua kubwa ya mafanikio ikiwa unapaa ukiwa peke yako ukiwa mazingira ya asili,au unayoyafahamu na watu unaowafahamu b)japo kuota unapaa inaweza ikawa mbaya ni sawa na wale wanaoruka usiku kuwanga endapo utakuwa na watu usiowafahamu,mazingira ya kutisha,mfano unapaa makaburini? na je ?ukiamka unahisi nini moyoni furaha au huzuni lazima ikiwa suplemeted na hisia na sauti inaweza kuleta picha zaidi.
KWA CASE YAKO NI MAANA NZURI mana unakuwa na furaha ni tunda la roho mtakatifu,na kushinda mapambano naweza nika conclude ni postive ni MAANA NZURI KWAKO.
3)Pole kwa ndoto za kurudi nyuma,mana yake siyo mpango wa Mungu urudi nyuma,Mungu huwa ni baba wa kuongezeka ku multiply kizaliana anayeharibu,kuiba kuua,kutesa na kurudisha nyuma ,kuchinja na kuua ni ADUI.Mungu anatuwazia mema na anatupenda ndio maana akamtuma Yesu atuokoe tusipotee.YESU akustawishe akuridishie vyote alivyoiba adui,miaka iliyoliwa na iliyoibiwa,vyote vitarudi kwako kwa jina la Yesu.Omba kemea na kataa roho ya kurudishwa nyuma.Mungu atusaidie tuishi maisha ya ushindi aliyotukusudia tuishi
.Ameni.
AMEEN🙏🙏 ubarikiwe sana
 
N
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana.Mambo yote yanayot
tokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili.
Mwili hupata taarifa ya yale yatakayotokea mbeleni kupitia a)ndoto unazoota unapokuwa umelala.
Njia nyingine ya kupata taarifa kuhusu yatakayotokea mda mchache ujao au siku chache zijazo mbeleni ni kupitia
b) kuhisi moyo kuwa either na furaha,amani,mwepesi,msukumo wa kufanya na kutimiza jambo au kinyume chake kuhisi moyo mzito,unasita,hofu,huzini,kukosa amani na msukumo wa kutekeleza jambo au kuwepo eneo fulani au kuendelea kikamilisha jambo.
njia nyingine ya tatu ni
c)kusikia sauti inakuambia kabisa moyoni au roho inakuambia au kitu kinakiambia moyoni usite kukamilisha kutekeleza jambo au usiwepo eneo fulani,kama unasikia kutahadhatishwa.
Wakati mwingine taarifa hizi katika ulimwengu wa roho unaweza ukazipata kwa njia mojawapo au njia zote tatu ili kusisitiza kutilia mkazo.
mfano NDOTO unaweza kuota ndoto aina moja iwe mbaya au nzuri zaidi ya mara moja hata mpaka mara tatu ndani ya usingizi mmoja /siku moja kila ukishtuka usingizini ukilala tena unaota tena ndoto ileile ,au inajirudia aina hiyohiyo ya ndoto siku tofauti.
Inaweza ikaambatana na kuhisi hisia za huzuni moyoni au furaha moyoni,na kusikia sauti ikikuonya moyoni./rohoni.
Na mfano unaota unapigana ukishtuka uzingizini unajikuta una michubuko ama alama vile vile na maeneo yale yale kama ulivyokuwa unaota ndotoni.
LENGO LA HIZO TAARIFA unazozipata katika ulimwengu wa roho kupitia ndoto ni nini?
Ili uchukue hatua ya either kuomba Mungu/Yesu Kristo akuepushe na hatari iliyoko mbeleni.Pia wakati mwingine ndoto inakupa picha ya maisha yako ya dhambi,maana dhambi ni mauti,fhambi inafungua mlango wa roho za mauti kukuingia.Ili uache ujirekebishe uache kuishi chini ya dhambi,utubu na uombe ulinzi wa Mungu akuepushe na mabaya yaliyokusudiwa kukupata mbeleni.

Baadhi ya aina za ndoto chache ambazo sio nzuri
1)kuota upo makaburini,kuona majeneza,umekufa,unazikwa(roho ya mauti inakuandama)
2)kuota unakimbizwa na watu wanaotaka kukudhuru,au wanayama(roho ya mauti)
3)kuota unapigwa,unapigana na ukapigwa ukapata majeraha(unashambuliwa na adui ulimwengu wa giza unakushambilia wachawi,mizimu,mapepo
4)kuota uko uchi huna nguo,umepaka kinyesi,umebeba mizigo mizito unaachwa na gari,ina mavazi machafu meusi,unaishi huna nyumba porini au nyumba kukuu,una anguka shimoni,kwenye giza,unaanguka chini,upo gizani,mavazi meusi,(utubu na kuacha dhambi)
5)Kuota UNAZINI ndotoni ,unafunga ndoa,unavalishwa pete,unazaa,unanyonyesha(Ndoa za majini mapepo ,umeolewa kuoa na maroho machafu)
6)kuota umebeba mizigo mizito unataka kupanda gari unashindwa umeachwa na gari kwa sababi ya mizigo mizito uliyobeba(acha dhambi tubu)
7)kuota umerudi kusoma madarasa ya nyuma ukiyokwisha yasoma na kuvuka hiyo level au unasoma level hiyo hoyo,unaanguka chini,unateleza,unakimbia lakini huogei,(roho ya kurudisha nyuma maendeleo yako)
8)kuota unapokonywa nguo,viatu,mavazi,pesa,(unaibiwa nafasi yako unafanyiwa ushirikina roho wachafu
9)kuota unalishwa unakuka kunywa chakula (unafanyiwa vitendo vya kishirikina vinavyokuingiza katika maagano mabaya na maroho machafu)
9)
10)
zipo nyingi hizi ni badhi tu.

baadhi ya ndoto nzuri
1)kuota una nyeshewa mvua ,mvua inanyesha(baraka ustawi kufanikisha jambo)
2)kuota unavuna shamba mavuno matunda,mazao,wanyama wako wamezaa(baraka kustawi kufanikisha jambo)
3)kuota umevaa mavazi meupe,(matendo yako toba umesamehewa dhambi)
4)kuota unafua nguo zako na kuoga mana yake (unasafisha matendo yako utapata neema ya kusamehewa dhambi zako)
5)unavalishwa nyota begani,kofia unapata cheo nk
6)umepigana vita ukamshinda adui ndotoni (umemshinda adui falme za giza Mungu amekusaidia
zipo nyingi mifano baadhi tu

NINI KIFANYIKE UNAPOPATA TAARIFA HASA NDOTO MBAYA.
1)SALI OMBA YESU akuokoe akusaidie,ni Yesu pekee anayeweza kutuokoa na kutuepusha na hatari zote.
2)kutubu na kuacha dhambi,mana dhambi zinafungua mlango wa nguvu za giza kupata uhalali wa kikushambulia.Bila kusali tunakosa ulinzi wa Mungu.
Ime

Nimeota,"Tz ni mara ya kwanza kuwa na Rais mwanamke na itakuwa mara ya pili kushuhudia vita na mashuleni students watarudi kucheza mgambo"
 
White men mentality!
Black is curse, white is blessing.
"Emancipate yourself from mental slavery. None but yourself can free your mind." - Bob Marley.
FACTS
WHITE maana yake usafi wa matendo utakatifu,NURU-ufalme wa nuru mwanga wa Mungu.
BLACK-Kwa maana ya Giza ufalme wa giza ,kizimu.

OPINIONS
Halafu hizi nyingine za rangi za race au mabara ni watu wameamua kujibatiza majina mazuri WHITE na kiwabatiza wengine blacks ,wakati kiuhalisia hakuna mtu mwwnye rangi nyeupe hata wazungu wanajiita white lakini hakuna binadamu ana rangi nyeupe.Ni lugha tu ambazo zinazuka na zinatumika kuwasiliana lakini sio facts
Mungu ametuumba binadamu wote kwa namna tofauti tofauti kwa utukufu wake ,lakini wote ni sawa mbele ya Mungu.
Na hata shetani mwenyewe hana rangi ya black.
what we ought to know is that HEAVEN KINGDOM is real ,na HELL is real.
Kingine kinachofanana na hicho nyimbo tunazozisikiliza na sinema picha mnato na picha za video ,movies n.k
Hizo zote pia ni ibada ,nyimbo za kidunia na filamu nyingi sana za kidunia zina onyesha ibada za kuzimu na kupitia kuzitazama au kisikiliza unakuwa umeshiriki hiyo ibada ya kuzimu na kualika au kufungua mlango nguvu za giza kukushambulia.
Na hata wasanii wa hizo nyimbo ukiwachunguza unaweza kubahatika kigundua ni waabudu shetani na hata matendo yao baadhi unaweza ukajua madhuri.Lakini pia hata ujumbe wa hizo miziki na nyimbo sinema ukichunguza kwa makini deep unaweza kukuta zimebeba ujumbe mbaya au kukashifu na kulaani au kipinga uwepo wa Mungu na kusifia anasa matendo ya fujo na dhambi mbalimbali kama zinaa,ulevi,madawa ya kulevya,wizi,uongo,majigambi ,kiburi na kadhalika
Ndio wakati mwingine unaweza kuota NDOTO mbaya kutoka na negative energy ya vitu unavyotazama na kusikiliza(ibabda)
Na kuna nyimbo au sinema zonaonekana dicent au hata kama no za gospel kumbe ni za kuzimu,na kuna wasanii wanaonekana inocent kumbe ni mawakala wa kuzimu,hata katuni wanazitizama watoto nyingine characters walioigiza ni demons hasa super heros na nyingine themes ni za evils,watoto wanakuwa posessed na nguvu za giza/roho chafu na hata kuota NDOTO MBAYA kupitia cartoon wanaziziangalia.
 
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana.Mambo yote yanayot
tokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili.
Mwili hupata taarifa ya yale yatakayotokea mbeleni kupitia a)ndoto unazoota unapokuwa umelala.
Njia nyingine ya kupata taarifa kuhusu yatakayotokea mda mchache ujao au siku chache zijazo mbeleni ni kupitia
b) kuhisi moyo kuwa either na furaha,amani,mwepesi,msukumo wa kufanya na kutimiza jambo au kinyume chake kuhisi moyo mzito,unasita,hofu,huzini,kukosa amani na msukumo wa kutekeleza jambo au kuwepo eneo fulani au kuendelea kikamilisha jambo.
njia nyingine ya tatu ni
c)kusikia sauti inakuambia kabisa moyoni au roho inakuambia au kitu kinakiambia moyoni usite kukamilisha kutekeleza jambo au usiwepo eneo fulani,kama unasikia kutahadhatishwa.
Wakati mwingine taarifa hizi katika ulimwengu wa roho unaweza ukazipata kwa njia mojawapo au njia zote tatu ili kusisitiza kutilia mkazo.
mfano NDOTO unaweza kuota ndoto aina moja iwe mbaya au nzuri zaidi ya mara moja hata mpaka mara tatu ndani ya usingizi mmoja /siku moja kila ukishtuka usingizini ukilala tena unaota tena ndoto ileile ,au inajirudia aina hiyohiyo ya ndoto siku tofauti.
Inaweza ikaambatana na kuhisi hisia za huzuni moyoni au furaha moyoni,na kusikia sauti ikikuonya moyoni./rohoni.
Na mfano unaota unapigana ukishtuka uzingizini unajikuta una michubuko ama alama vile vile na maeneo yale yale kama ulivyokuwa unaota ndotoni.
LENGO LA HIZO TAARIFA unazozipata katika ulimwengu wa roho kupitia ndoto ni nini?
Ili uchukue hatua ya either kuomba Mungu/Yesu Kristo akuepushe na hatari iliyoko mbeleni.Pia wakati mwingine ndoto inakupa picha ya maisha yako ya dhambi,maana dhambi ni mauti,fhambi inafungua mlango wa roho za mauti kukuingia.Ili uache ujirekebishe uache kuishi chini ya dhambi,utubu na uombe ulinzi wa Mungu akuepushe na mabaya yaliyokusudiwa kukupata mbeleni.

Baadhi ya aina za ndoto chache ambazo sio nzuri
1)kuota upo makaburini,kuona majeneza,umekufa,unazikwa(roho ya mauti inakuandama)
2)kuota unakimbizwa na watu wanaotaka kukudhuru,au wanayama(roho ya mauti)
3)kuota unapigwa,unapigana na ukapigwa ukapata majeraha(unashambuliwa na adui ulimwengu wa giza unakushambilia wachawi,mizimu,mapepo
4)kuota uko uchi huna nguo,umepaka kinyesi,umebeba mizigo mizito unaachwa na gari,ina mavazi machafu meusi,unaishi huna nyumba porini au nyumba kukuu,una anguka shimoni,kwenye giza,unaanguka chini,upo gizani,mavazi meusi,(utubu na kuacha dhambi)
5)Kuota UNAZINI ndotoni ,unafunga ndoa,unavalishwa pete,unazaa,unanyonyesha(Ndoa za majini mapepo ,umeolewa kuoa na maroho machafu)
6)kuota umebeba mizigo mizito unataka kupanda gari unashindwa umeachwa na gari kwa sababi ya mizigo mizito uliyobeba(acha dhambi tubu)
7)kuota umerudi kusoma madarasa ya nyuma ukiyokwisha yasoma na kuvuka hiyo level au unasoma level hiyo hoyo,unaanguka chini,unateleza,unakimbia lakini huogei,(roho ya kurudisha nyuma maendeleo yako)
8)kuota unapokonywa nguo,viatu,mavazi,pesa,(unaibiwa nafasi yako unafanyiwa ushirikina roho wachafu
9)kuota unalishwa unakuka kunywa chakula (unafanyiwa vitendo vya kishirikina vinavyokuingiza katika maagano mabaya na maroho machafu)
9)
10)
zipo nyingi hizi ni badhi tu.

baadhi ya ndoto nzuri
1)kuota una nyeshewa mvua ,mvua inanyesha(baraka ustawi kufanikisha jambo)
2)kuota unavuna shamba mavuno matunda,mazao,wanyama wako wamezaa(baraka kustawi kufanikisha jambo)
3)kuota umevaa mavazi meupe,(matendo yako toba umesamehewa dhambi)
4)kuota unafua nguo zako na kuoga mana yake (unasafisha matendo yako utapata neema ya kusamehewa dhambi zako)
5)unavalishwa nyota begani,kofia unapata cheo nk
6)umepigana vita ukamshinda adui ndotoni (umemshinda adui falme za giza Mungu amekusaidia
zipo nyingi mifano baadhi tu

NINI KIFANYIKE UNAPOPATA TAARIFA HASA NDOTO MBAYA.
1)SALI OMBA YESU akuokoe akusaidie,ni Yesu pekee anayeweza kutuokoa na kutuepusha na hatari zote.
2)kutubu na kuacha dhambi,mana dhambi zinafungua mlango wa nguvu za giza kupata uhalali wa kikushambulia.Bila kusali tunakosa ulinzi wa Mungu.
Hii ya kuota upo mazingira ya Nyumbani Ulikokulia yaani Bado upo Kwa wazazi wako, hii imekaaje Mkuu!
 
Wewe na wazazi wako mna connection katika damu na ibada ambazo wazazi wako walifanya au hata ancestors wako kabla yako.Sasa kama ibada walizozifanya zilikuwa kwa Mungu na baada ya kuota ndoto unakuwa na amani moyoni sio mbaya.
b)kama nyumbani wazee walikiwa ni watubwa ibada ya mizimu matambiko,basi inawezekana roho za ukoo familia zinakufuatilia .MAANA MBAYA ni roho ya mizimu ya nyumbani ikifuatilia kukurudisha mazingira ya kukutumikisha hasa kama itakuwa ina ambatana na hofu.kukosa amani
c)inaeweza isiwe na maana yoyote zaidi yabumekumbuka nyumbani kwenu na wao wamekukimbuka ambapo ni kawaida ,kama hujaenda nyumbani mda mrefu au hamjawasiiana muda mrefu
 
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana.Mambo yote yanayot
tokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili.
Mwili hupata taarifa ya yale yatakayotokea mbeleni kupitia a)ndoto unazoota unapokuwa umelala.
Njia nyingine ya kupata taarifa kuhusu yatakayotokea mda mchache ujao au siku chache zijazo mbeleni ni kupitia
b) kuhisi moyo kuwa either na furaha,amani,mwepesi,msukumo wa kufanya na kutimiza jambo au kinyume chake kuhisi moyo mzito,unasita,hofu,huzini,kukosa amani na msukumo wa kutekeleza jambo au kuwepo eneo fulani au kuendelea kikamilisha jambo.
njia nyingine ya tatu ni
c)kusikia sauti inakuambia kabisa moyoni au roho inakuambia au kitu kinakiambia moyoni usite kukamilisha kutekeleza jambo au usiwepo eneo fulani,kama unasikia kutahadhatishwa.
Wakati mwingine taarifa hizi katika ulimwengu wa roho unaweza ukazipata kwa njia mojawapo au njia zote tatu ili kusisitiza kutilia mkazo.
mfano NDOTO unaweza kuota ndoto aina moja iwe mbaya au nzuri zaidi ya mara moja hata mpaka mara tatu ndani ya usingizi mmoja /siku moja kila ukishtuka usingizini ukilala tena unaota tena ndoto ileile ,au inajirudia aina hiyohiyo ya ndoto siku tofauti.
Inaweza ikaambatana na kuhisi hisia za huzuni moyoni au furaha moyoni,na kusikia sauti ikikuonya moyoni./rohoni.
Na mfano unaota unapigana ukishtuka uzingizini unajikuta una michubuko ama alama vile vile na maeneo yale yale kama ulivyokuwa unaota ndotoni.
LENGO LA HIZO TAARIFA unazozipata katika ulimwengu wa roho kupitia ndoto ni nini?
Ili uchukue hatua ya either kuomba Mungu/Yesu Kristo akuepushe na hatari iliyoko mbeleni.Pia wakati mwingine ndoto inakupa picha ya maisha yako ya dhambi,maana dhambi ni mauti,fhambi inafungua mlango wa roho za mauti kukuingia.Ili uache ujirekebishe uache kuishi chini ya dhambi,utubu na uombe ulinzi wa Mungu akuepushe na mabaya yaliyokusudiwa kukupata mbeleni.

Baadhi ya aina za ndoto chache ambazo sio nzuri
1)kuota upo makaburini,kuona majeneza,umekufa,unazikwa(roho ya mauti inakuandama)
2)kuota unakimbizwa na watu wanaotaka kukudhuru,au wanayama(roho ya mauti)
3)kuota unapigwa,unapigana na ukapigwa ukapata majeraha(unashambuliwa na adui ulimwengu wa giza unakushambilia wachawi,mizimu,mapepo
4)kuota uko uchi huna nguo,umepaka kinyesi,umebeba mizigo mizito unaachwa na gari,ina mavazi machafu meusi,unaishi huna nyumba porini au nyumba kukuu,una anguka shimoni,kwenye giza,unaanguka chini,upo gizani,mavazi meusi,(utubu na kuacha dhambi)
5)Kuota UNAZINI ndotoni ,unafunga ndoa,unavalishwa pete,unazaa,unanyonyesha(Ndoa za majini mapepo ,umeolewa kuoa na maroho machafu)
6)kuota umebeba mizigo mizito unataka kupanda gari unashindwa umeachwa na gari kwa sababi ya mizigo mizito uliyobeba(acha dhambi tubu)
7)kuota umerudi kusoma madarasa ya nyuma ukiyokwisha yasoma na kuvuka hiyo level au unasoma level hiyo hoyo,unaanguka chini,unateleza,unakimbia lakini huogei,(roho ya kurudisha nyuma maendeleo yako)
8)kuota unapokonywa nguo,viatu,mavazi,pesa,(unaibiwa nafasi yako unafanyiwa ushirikina roho wachafu
9)kuota unalishwa unakuka kunywa chakula (unafanyiwa vitendo vya kishirikina vinavyokuingiza katika maagano mabaya na maroho machafu)
9)
10)
zipo nyingi hizi ni badhi tu.

baadhi ya ndoto nzuri
1)kuota una nyeshewa mvua ,mvua inanyesha(baraka ustawi kufanikisha jambo)
2)kuota unavuna shamba mavuno matunda,mazao,wanyama wako wamezaa(baraka kustawi kufanikisha jambo)
3)kuota umevaa mavazi meupe,(matendo yako toba umesamehewa dhambi)
4)kuota unafua nguo zako na kuoga mana yake (unasafisha matendo yako utapata neema ya kusamehewa dhambi zako)
5)unavalishwa nyota begani,kofia unapata cheo nk
6)umepigana vita ukamshinda adui ndotoni (umemshinda adui falme za giza Mungu amekusaidia
zipo nyingi mifano baadhi tu

NINI KIFANYIKE UNAPOPATA TAARIFA HASA NDOTO MBAYA.
1)SALI OMBA YESU akuokoe akusaidie,ni Yesu pekee anayeweza kutuokoa na kutuepusha na hatari zote.
2)kutubu na kuacha dhambi,mana dhambi zinafungua mlango wa nguvu za giza kupata uhalali wa kikushambulia.Bila kusali tunakosa ulinzi wa Mungu.
Nimeota nipo Marekani mara nyingi,ila nimeishia kukaa Chanika-nguvukazi.
 
Mwili ukiwa mchafu hakuna ndoto inayoweza kutoa muelekeo
ndoto ni kwa binadamu wote uwe msafi ama mchafu.Tena ukiwa mchafu unaweza ukaota ndoto zikikuonyesha status yako ya kiroho uliyonayo ili uchukue hatua stahiki ya kujisafisha.
Baadhi ya mifano ya ndoto zinazokuonyesha kuwa wewe ni mchafu unahitaji kujisafisha mfano
1)kuota umechafuka mavazi au mwili kwa uchafu wowote hata kinyesi,mavazi meusi,yaliyochakaa au mtupu upo uchi.
2)unaweza ukaota dhambi unazozifanya specificaly mfano ukaota unazini na uchafu unatoka sehemu za siri za unayezini naye na zikikupakaza uchafu
Au kama ni mnywa pombe ukaota unakunywa uchafu kwenye chupa ya pombe
3)unaweza ukaota umebeba mizigo mizito sana mingi mana yake ni mizigo ya dhambi
4)unaweza ukaota huna nyumba au nyumba yako inabomoka au ni kuu kuu au nyumba yako haihaisha maana huna matendo mema ,matendo yako ndio hujenga nyumba yako kama ni mema ni raw material ya kujenga nyumba yako mbinguni kwa matendo the same na nguo nguo zako katika ndoto ndio zinawakilisha matendo yako mfano ukiwa uchi ni maana mbili aibu kuaibishwa sana na kujisaidia sehemu ya wazi au kupakwa kinyesi ni roho ya kuaibishwa lakini pia ni uchafu na uchafu wowote ni ishara ya maisha ya DHAMBI.

Kinyume chake ni mavazi safi meupe,nyumba nzuri,kuota unaoga kutoa uchafu mwilini uwe msafi unafua nguo chafu ziwe safi(MAANA YAKE UNATUBU NA KUACHA DHAMBI-NDIO USAFI)

Hitimisho
Mtu yeyote yule hata awe na dhambi kiasi gani anapata ndoto zenye muongozo wa nini cha kufanya ziki reflect maisha yake ya kiroho status yake na yaliyokusudiwa kumtokea mbeleni kama ni baraka au balaa.Jukumu la muota ndoto baada ya kuota ndoto anatakiwa atafsiri ili ajue hatua ya kufanya either kujirekebisha mfumo wake wa maisha au kuepuka madhara yanayowezs kutokea mbele.Kwa msaada neema ya Mungu.
 
Nilishawahi kuota naongea na watu wakubwa Sana nchi hii sasa sjui bange

Nilishawahi kuota mchizi wangu mtaani anabiashara ya pool table niliota anachezesha ila kete zake zimepasuka Nini maana yake?

Leo nmeota mmeshindwa pata alama flani kwenye interview ninayoenda kufanya soon utumishi dah!

Nielezee maana zake
 
Ndoto ni lile uliwazalo sana.

"Naota ndoto hazina rangi naamka nazipaka" - Gwiji
 
Mimi niliota nimetokewa na mtu mweupe pee kama theluji,alishuka kutoka mawinguni akanikabidhi kitu kama fimbo kama île Tochi ya olympic.

Yaani fimbo ina moto live akanikabidhi akaniambia nimchape kwa hiyo fimbo adui yeyote yule.

Yaani tokea hiyo siku niliamka na nguvu za ajabu na ninajiamini kupita maelezo ninaamini.

Ninaposses power ambayo hapa duniani hakuna wa kunishinda hata Putin yaani.
 
Back
Top Bottom