Sijaona comment ku- boost hoja, ila kuna-like tu.
Hadithi hii uliyoianzisha imebeba ukweli nusu na uongo nusu.
Nikawa nafikiria, kwamba mleta uzi ni msukuma kwa kabila lake?
Nimeishi usukumani na kusikia mambo hayo ya harufu kuwa ndiyo kivutio na ndiyo uhalisi, nilishangaa sana na leo umenirejesha tena huko!
Wataalamu wa mambo ya usafi wanashauri uke usafishwe kwa maji yasiyo na kemikali ya aina yoyote.
Usafishwe kwa maji safi na salama ikiwezekana maji ya chupa.
Maji hayo yasiwe ya moto, bali yawe maji baridi, ikiwezekana yakitoka kupoozwa kwenye jokofu.
Sababu za kutumia maji baridi, wataalamu wanasema yanajenga uasilia mbano(shrink), kuliko maji ya moto yanayoweza kulegeza na ku- "disturb" vimelea asilia vya uke.
Kusema uke usisafishwe kiuhakika unapotosha kwa kiwango kikubwa.
Usafi wa mwanamke unaosemwa ni pamoja na kujisafisha sehemu zake za siri mara atokapo haja kubwa/ndogo kwa maji safi na salama. Haijalishi ni marangapi kwa siku.
Anapojisafisha hubakia harufu ya asili isoyochukiza yenye kupendeza.
Kuramba ama kunyonya hakukatazwi kama virambwo na virambio vipo katika mazingira safi na salama.
Mwanamke asiyejisafisha vizuri hukinaisha sana na kufifisha moyo wa mapenzi. Huhesabiwa kama ni mwanamke asiyejitambua, mchafu na asiyejijali.
Wanaume wengi wanaona haya kumkosoa mpenzi wake ama mwenza kwa kuhofia kumkwaza. Hii imepelekea mahusiano mengi kusambaratika, sababu mojawapo ni uchafu wa kimwili kwa pande zote.
Nakuomba muanzisha mada utueleze ipasavyo wewe katika kufanya kwako mapenzi, je unapenda sana kubaki na harufu nzito isiyopendeza baada ya tendo?
Pua zetu wanadamu kweli zinavionjo tofauti kwa kuwa sisi ni wanyama pia! Na hili leo nimeliamini.