Usirambe wala kutia kidole sehemu za siri

Kwa asili sehemu ya siri ya kike yenye afya nzuri inapaswa kuwa na harufu kali na mazingira ya utelezi yasiyomtamanisha mtu kuyaramba wala kunusa hata kidogo. Hii inatokana na kwamba haitakiwi mwanamke kutumbukiza vidole, sabuni au kitu chochote ukeni kwa madhumuni ya kufanya usafi. Kuingiza vidole, sabuni, au kitu chochote ukeni kunamuongezea mama uwezekano wa kupata shida za saratani ya shingo ya kizazi, fangasi na UTI. Hivyo basi uke ambao haujasafishwa kwa kutumbukiza vidole, sabuni au dawa nyingine zozote utakuwa kwenye hali yake ya asili ya kuwa na unyevunyevu (secretions) mwingi na harufu isiyopendeza kuinusa au kuramba. Akina mama wengi wanahatarisha afya ya uzazi wao kwa kutengeneza mazingira yanayowahamasisha watu kumudu kuziramba sehemu zao za siri. Hii ni pamoja na kusugua kwa vidole na sabuni au madawa (douching) mara kadhaa ukeni ili kuondosha harufu na utelezi ukeni. Hata hivyo wanafanya hivyo kwa kuhatarisha afya ya viungo vyao vya uzazi bila kufahamu. Mdomo pia una bacteria wengi sana wa aina tofauti, kuramba ukeni ni kumuambukiza mama wadudu wa mdomoni kwako, hebu tuwaoneeni huruma dada na mama zetu kwa kuacha kuwaramba kama nyoka sehemu zao za siri . Kwani unataka nini hasa hadi urambe? tafiti zinasema kuwa wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume wanaoongoza kwa kuramba wenza wao kama sehemu ya kufidia (compensate) mapunguvu yao ya nguvu za kiume.
Shukran Jazillah
 
Mbona huko watu wamehama siku nyingi we umekuja lini mjini hapa bro?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asaah mkuu hv pasioshwe vizuri tule tumikojo secretions nyingine jasho kale kaarufu kake c km samaki sijui kibeberu vile duuuhw mkuu ukiwa nae akivua nguo si ndio unazindukia Mwananyamala hospital!!!
 
Sijaona comment ku- boost hoja, ila kuna-like tu.
Hadithi hii uliyoianzisha imebeba ukweli nusu na uongo nusu.
Nikawa nafikiria, kwamba mleta uzi ni msukuma kwa kabila lake?
Nimeishi usukumani na kusikia mambo hayo ya harufu kuwa ndiyo kivutio na ndiyo uhalisi, nilishangaa sana na leo umenirejesha tena huko!
Wataalamu wa mambo ya usafi wanashauri uke usafishwe kwa maji yasiyo na kemikali ya aina yoyote.
Usafishwe kwa maji safi na salama ikiwezekana maji ya chupa.
Maji hayo yasiwe ya moto, bali yawe maji baridi, ikiwezekana yakitoka kupoozwa kwenye jokofu.
Sababu za kutumia maji baridi, wataalamu wanasema yanajenga uasilia mbano(shrink), kuliko maji ya moto yanayoweza kulegeza na ku- "disturb" vimelea asilia vya uke.
Kusema uke usisafishwe kiuhakika unapotosha kwa kiwango kikubwa.
Usafi wa mwanamke unaosemwa ni pamoja na kujisafisha sehemu zake za siri mara atokapo haja kubwa/ndogo kwa maji safi na salama. Haijalishi ni marangapi kwa siku.
Anapojisafisha hubakia harufu ya asili isoyochukiza yenye kupendeza.
Kuramba ama kunyonya hakukatazwi kama virambwo na virambio vipo katika mazingira safi na salama.
Mwanamke asiyejisafisha vizuri hukinaisha sana na kufifisha moyo wa mapenzi. Huhesabiwa kama ni mwanamke asiyejitambua, mchafu na asiyejijali.
Wanaume wengi wanaona haya kumkosoa mpenzi wake ama mwenza kwa kuhofia kumkwaza. Hii imepelekea mahusiano mengi kusambaratika, sababu mojawapo ni uchafu wa kimwili kwa pande zote.
Nakuomba muanzisha mada utueleze ipasavyo wewe katika kufanya kwako mapenzi, je unapenda sana kubaki na harufu nzito isiyopendeza baada ya tendo?
Pua zetu wanadamu kweli zinavionjo tofauti kwa kuwa sisi ni wanyama pia! Na hili leo nimeliamini.
 
Mapenzi ni uchafu kama hujawahi kumnyonya papuchi wife wako lazima unyonyewe na wenzako, kwani mbona denda mnakulana kama kawaida na kuna midomo mingine inaharufu mbaya bora hata papuchi, acheni mambo yenu bana watu wananyonya mpaka kinyereo we unasema papuchi,,,,?

Kinyereo unamaanisha MMKUNDU????

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Sijaona comment ku- boost hoja, ila kuna-like tu.
Hadithi hii uliyoianzisha imebeba ukweli nusu na uongo nusu.
Nikawa nafikiria, kwamba mleta uzi ni msukuma kwa kabila lake?
Nimeishi usukumani na kusikia mambo hayo ya harufu kuwa ndiyo kivutio na ndiyo uhalisi, nilishangaa sana na leo umenirejesha tena huko!
Wataalamu wa mambo ya usafi wanashauri uke usafishwe kwa maji yasiyo na kemikali ya aina yoyote.
Usafishwe kwa maji safi na salama ikiwezekana maji ya chupa.
Maji hayo yasiwe ya moto, bali yawe maji baridi, ikiwezekana yakitoka kupoozwa kwenye jokofu.
Sababu za kutumia maji baridi, wataalamu wanasema yanajenga uasilia mbano(shrink), kuliko maji ya moto yanayoweza kulegeza na ku- "disturb" vimelea asilia vya uke.
Kusema uke usisafishwe kiuhakika unapotosha kwa kiwango kikubwa.
Usafi wa mwanamke unaosemwa ni pamoja na kujisafisha sehemu zake za siri mara atokapo haja kubwa/ndogo kwa maji safi na salama. Haijalishi ni marangapi kwa siku.
Anapojisafisha hubakia harufu ya asili isoyochukiza yenye kupendeza.
Kuramba ama kunyonya hakukatazwi kama virambwo na virambio vipo katika mazingira safi na salama.
Mwanamke asiyejisafisha vizuri hukinaisha sana na kufifisha moyo wa mapenzi. Huhesabiwa kama ni mwanamke asiyejitambua, mchafu na asiyejijali.
Wanaume wengi wanaona haya kumkosoa mpenzi wake ama mwenza kwa kuhofia kumkwaza. Hii imepelekea mahusiano mengi kusambaratika, sababu mojawapo ni uchafu wa kimwili kwa pande zote.
Nakuomba muanzisha mada utueleze ipasavyo wewe katika kufanya kwako mapenzi, je unapenda sana kubaki na harufu nzito isiyopendeza baada ya tendo?
Pua zetu wanadamu kweli zinavionjo tofauti kwa kuwa sisi ni wanyama pia! Na hili leo nimeliamini.

Mwana mbona unaandika sana ....?? Utadhani unalipwa mzee... Acha ushamba bana.

kweli kabisa mkuu safisha juu ya uso wa uke (vulva) kwa maji safi tu bila kuzamisha ukeni vidole wala kuweka povu la sabuni ukeni ili kuukomba na kuondosha harufu na secretions za ndani ya njia ya uke ambazo ndizo zenye shida kwa wanaume wajinga kuhusu afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke. mbona baba, babu na kaka zako kule kijijini wanaweza tena migombani au chini ya mikorosho tu tena baada ya mama kutoka gulioni au kusakata ngoma za kienyeji bado akiwa na majasho? tatizo vijana mnapenda kula chips mayai na kutafuta visingizio kitandani
 
Ndo maana watu wengine wananuka papuch kumbe sababu hamsafish vizur sasa kama hujaingiza kidole humu ndan lile tope jeupe litatokaje
hilo tope ndio salama ya mama ukilikomba kwa vidole unaharibu kabisa. hii itakuwa sawa na mtu anayesafisha masikio na kutoa nta (wax) yote masikioni lasima sikio lake litagonjwa tu atake asitake, nta masikioni ndiyo afya ya sikio usitumbukize pamba kuitowa
 
Back
Top Bottom