Usiri wa namna watu wanavyotajirika

Usiri wa namna watu wanavyotajirika

Mtu akwambie siri ya utajiri wake ili iweje?
Kwanini? Unamlipa?
Kitu pekee unachoweza kudokezwa au kushuhudia kwa macho yako ni
"hakuna tajiri asiye mchapa kazi"
Hayo mengine amini ulichochagua kuamini.

After all Mmeshaamua kuamini utajiri ni ushirikina
Yani mtu atafute utajiri halafu bado ahangaike kujieleza kwa masikini? Nonsense!

Swali sahihi masikini wote wanapaswa kujiuliza ni
"Kwanini mimi ni masikini" na sio
"Kwanini yule ni tajiri"

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni rahisi zaidi kujiuliza "Amewezaje?" kuliko kujiuliza "Nimeshindwaje?", kwasababu - kwanza umekwama manaake hujui jinsi ya kujikwamua. Utabaki unajiuliza hapo mpaka unakufa hutapata jibu. Lakini akija aliefanikiwa, tayari anajua uelekeo sahihi ni upi. Hivyo, ni rahisi kukusaidia na wewe utoke ulipo.

Pia, hatuwalipi wala hatuwalazimishi kutuambia. Hoja ni kwamba wao wenyewe ndio huwa wanasema wakipata nafasi za kuzungumza. Lakini, wanayoyasema hayajitoshelezi. Swali, ni nini wanaficha? Mbona kuna wenzao wanaweka wazi kila kitu - uthibitisho kuwa inawezekana kuwa wazi na maisha yakaendelea na utajiri wako usishuke.

Huwa wanazindua vitabu hawa watu, ambavyo wanadai vinaelezea maisha yao. Lakini bado havijibu maswali muhimu. Hapo ndipo penye ukakasi ambao madhara yake ni makubwa.
 
OK, maana kibongobongo mtu mwenye mil. 50, ndinga na nyumba tayari ni tajiri huyooo.
Doh! Wenye milioni 50 ni wengi kichizi, nahisi tutakuwa tunawaonea kuwaweka kwenye kundi moja na 'matajiri'.

Sema tu Kiswahili kina upungufu wa maneno. Kwenye Kiingereza kuna Rich people (Ndo hao wenye mil 50) na Wealthy people (Hawa ndo akina Mo, Bakhresa, Dangote n.k.)

Mtu ambae ni Rich, hawezi ku-survive muda mrefu bila kufanya kazi... atafulia. Hawa wana assets chache, na pengine hawana assets kabisa, na wengi wao wana madeni ya kutisha, na matumizi ya hovyo.

Mtu Wealthy, hata akikaa tu bila kufanya kazi - bado atakidhi mahitaji yake na salio la kutosha juu. Hawa wana assets nyingi na kipato kikubwa kuliko matumizi.
 
Hii imekaa vizuri.
 
Ushuhuda una ukakasi, ndio maana nina doubts. Kwamba utajiri ni siri - hapo ndipo hoja yangu ilipo; mbona matajiri wa ughaibuni ni wepesi kueleza details za utajiri wao na bado hatuwezi kuwafikia? [emoji848][emoji848][emoji848] huku kwetu hizo siri ni siri gani?
Did you pray today
 
Back
Top Bottom