Nadhani ni rahisi zaidi kujiuliza "Amewezaje?" kuliko kujiuliza "Nimeshindwaje?", kwasababu - kwanza umekwama manaake hujui jinsi ya kujikwamua. Utabaki unajiuliza hapo mpaka unakufa hutapata jibu. Lakini akija aliefanikiwa, tayari anajua uelekeo sahihi ni upi. Hivyo, ni rahisi kukusaidia na wewe utoke ulipo.Mtu akwambie siri ya utajiri wake ili iweje?
Kwanini? Unamlipa?
Kitu pekee unachoweza kudokezwa au kushuhudia kwa macho yako ni
"hakuna tajiri asiye mchapa kazi"
Hayo mengine amini ulichochagua kuamini.
After all Mmeshaamua kuamini utajiri ni ushirikina
Yani mtu atafute utajiri halafu bado ahangaike kujieleza kwa masikini? Nonsense!
Swali sahihi masikini wote wanapaswa kujiuliza ni
"Kwanini mimi ni masikini" na sio
"Kwanini yule ni tajiri"
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
OK, maana kibongobongo mtu mwenye mil. 50, ndinga na nyumba tayari ni tajiri huyooo.Uwe na ukwasi (Networth) wa angalau Dola milioni 1 (TZS Bilioni 2.3)
Yaani, mil. 900 itapendeza zaidi......Kama wa Dr.Shika
Doh! Wenye milioni 50 ni wengi kichizi, nahisi tutakuwa tunawaonea kuwaweka kwenye kundi moja na 'matajiri'.OK, maana kibongobongo mtu mwenye mil. 50, ndinga na nyumba tayari ni tajiri huyooo.
Hii imekaa vizuri.Doh! Wenye milioni 50 ni wengi kichizi, nahisi tutakuwa tunawaonea kuwaweka kwenye kundi moja na 'matajiri'.
Sema tu Kiswahili kina upungufu wa maneno. Kwenye Kiingereza kuna Rich people (Ndo hao wenye mil 50) na Wealthy people (Hawa ndo akina Mo, Bakhresa, Dangote n.k.)
Mtu ambae ni Rich, hawezi ku-survive muda mrefu bila kufanya kazi... atafulia. Hawa wana assets chache, na pengine hawana assets kabisa, na wengi wao wana madeni ya kutisha, na matumizi ya hovyo.
Mtu Wealthy, hata akikaa tu bila kufanya kazi - bado atakidhi mahitaji yake na salio la kutosha juu. Hawa wana assets nyingi na kipato kikubwa kuliko matumizi.
Did you pray todayUshuhuda una ukakasi, ndio maana nina doubts. Kwamba utajiri ni siri - hapo ndipo hoja yangu ilipo; mbona matajiri wa ughaibuni ni wepesi kueleza details za utajiri wao na bado hatuwezi kuwafikia? [emoji848][emoji848][emoji848] huku kwetu hizo siri ni siri gani?
Jielewe chaliiiiikaka kama utajiri ni siri kwanini iwe siri huku kwetu africa lakini wenzetu wanaweka mambo wazi ?