Usirogwe ukamshirikisha Diamond kwenye ngoma yako

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa

Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua

Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa

Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha

Ni hayo tu

Asanten

LONDON BOY
 
Nilivyoona title umekosea kuandika "kumshirikisha" nikajua bahati mbaya

Nimesoma Body nayo nakuta umeboronga zaidi umeandika "kumlishilisha"

Sasa niambie we mwenyewe nikuweke kundi gaani,jichagulie mwenyewe

kabla sijafanya maamuzi yangu...
 
Aman iwe nanyi

Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa

Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua

Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa

Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha

Ni hayo tu

Asanten

LONDON BOY
Tuwekee hiyo ngoma tuidownload me niliisikia inapigwa hiyo ngoma kwa jirani leo.
 
watu wanaangalia soko na si kufunikwa mkuu, nahisi unafikiria kwa kubahatisha sana maye signal hazishiki vzr??
 
Aman iwe nanyi

Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa

Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua

Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa

Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha

Ni hayo tu

Asanten

LONDON BOY
Yani Chibu hatabiriki,hapo ndipo anapojitofautisha yeye na wasanii wengine,ukiskiliza hilo dude utakubali kabisa Mondi penseli aliyoiba hajaichonga kwa wembe kama alivyokua anafanya muibiwa bali kaichonga kwa mashine
 
Aman iwe nanyi

Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa

Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua

Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa

Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha

Ni hayo tu

Asanten

LONDON BOY
Mkuu

London boy na wewe unaugua ugonjwa wa L na R?????
 
Jux ni mmoja wa wasanii wa Tanzania wenye akili sana na hapendi kuweka au kuwekewa pingamizi akitaka kufanya maendeleo.

Jux ana akili sana kwa hiyo anacho jali cha msingi ni maendeleo bila kujali atakutanishwa na nani kwenye kufanya maendeleo!

Jux anacho fanya ndicho wenye akili wanatakiwa kufanya sio kukaa na kununa nuna au kulialia tuuu....
 
Back
Top Bottom