Tuwekee hiyo ngoma tuidownload me niliisikia inapigwa hiyo ngoma kwa jirani leo.Aman iwe nanyi
Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa
Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua
Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa
Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha
Ni hayo tu
Asanten
LONDON BOY
Dogo tulia una siku mbili tuu tangia ujiunge unataka kusababisha bani?Hahahaha... Fanya maamuz tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiniweka kwenye kundi la vilaza utakosea sana
Tuwekee hiyo ngoma tuidownload me niliisikia inapigwa hiyo ngoma kwa jirani leo.
Vidmate, undownload kila takataka ya u tube, n mb zako tuuHivi mkuu ni App gani naweza itumia kudownload video yutube?.
Yani Chibu hatabiriki,hapo ndipo anapojitofautisha yeye na wasanii wengine,ukiskiliza hilo dude utakubali kabisa Mondi penseli aliyoiba hajaichonga kwa wembe kama alivyokua anafanya muibiwa bali kaichonga kwa mashineAman iwe nanyi
Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa
Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua
Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa
Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha
Ni hayo tu
Asanten
LONDON BOY
kuna njia nying saaaaaanaHivi mkuu ni App gani naweza itumia kudownload video yutube?.
MkuuAman iwe nanyi
Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa
Kwa mfano leo Jux kaachia album yake na kwenye album kuna ngoma kamshilisha Diamond inaitwa sugua
Jux kafunikwa utadhanI yeye ndo kashilikishwa
Wasanii muwe mnatizama sana wasanii wa kuwashilikisha
Ni hayo tu
Asanten
LONDON BOY
hebu mpende jirani yako nenda kamuombeTuwekee hiyo ngoma tuidownload me niliisikia inapigwa hiyo ngoma kwa jirani leo.
Nzuri ?Tuwekee hiyo ngoma tuidownload me niliisikia inapigwa hiyo ngoma kwa jirani leo.