Usiruhusu mwanaume kuhamia kwenye nyumba yako uliyojenga kwa jasho lako

Na kwanini umweleze kuwa una nyumba?🤣🤣🤣acha kiherehere ,we mwambie hapo umepanga,na Kodi ni kiasi kadhaa,mkubaliane kama mtamudu kuilipia pamoja,ikishindikana muhame hapo,mkapange nyumba mtakayoimudu kutokana na vipato vyenu,simple as that.
 
Ni simple kwako ila kudanganya huwa sio poa, siku akigundua kuwa ulimdanganya majuto yatachukua nafasi
 
Ni hivi, modern trends zime change dynamics za ndoa, hakuna tena communal ownership to properties, hence kila mtu ana mtegea mwenzake.

Now, wanawake wana play mind games, wanataka kuleta bargaining isiyo ya haki kwenye ndoa kwa visingizio vya imani potofu na hadithi za zamani zilizo tungwa kwa muktadha wa kuangalia uduni wao wakati ule.

Wanawake siyo watu duni tena sasa, na hawawezi kuendelea ku behave as such. Ndiyo maana watu conscious hawataki ndoa.

Mazingira ya ndoa za sasa yako katika misingi ya kale, ndiyo maana ndoa inaonekana ni utapeli
 
Maneno kama haya "ishi na mwanamke kwa akili" yanapaswa kuzingatiwa na kila mwanaume, ni kweli imefikia wakati wanaume tunazidiwa akili na wanawake hadi wengine wanaamua kujiua kisa mwanamke, unadhani hao wanaume wana akili?

Mwanaume akipungukiwa akili hawezi kuishi na mwanamke, wanaume hao ndio wale wanaobweka hapa kila uchwao wakisema kataa ndoa [emoji23][emoji23]

Hivi sasa tunajidharirisha wenyewe kwa kukosa kutumia akili ya kumhandle mwanamke
 
Tatizo hapa ni umaskini tu.
 
Unakiburi Sana! Duh yaani unaona wivu Mwaume akihamia kwa le babez wake ' inakukera nn kwani ? Au unaona atapata double double'
Okay le babez Ni kauli za le mutuzz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…