Usiruhusu mwanaume kuhamia kwenye nyumba yako uliyojenga kwa jasho lako

Shida ni kudhani ndoa ni jambo la Kufa na Kuzikana. Tena wa kwanza Kufa ni mwanaume.

Ni hivi, ndoa yaweza kudumu dakika moja Hadi miaka 100 hadi lifetime. Maana yake maisha ya ndoa yaweza kuwa mafupi ama marefu.

Wana ndoa wachague wenyewe ustawi wa ndoa yao. Maana ndoa haina kocha, wala meneja, wala mwalimu.
 
Ni hivi, wala hauhitaji akili, papuchi imekua overrated, na pengine nyege zina tu overpower.

Kuna mdau alishahoji, ni kitu gani zaidi ya papuchi ambacho wanawake wana offer kwenye mahusiano?

Sisi capitalist hatutaki set-up za kijinga kama hizo, yaani mtu akae tu, au kwasababu anatoa papuchi basi awe parasite?

Lazima wanawake watoe mchango kwenye ujenzi wa familia
 
Majuto gani sasa?manake si mali kakukuta nayo na inajina lako,mkianza pamoja ulivyomkuta navyo mwenzio havipo kwenye umoja wenu[emoji120]mnastart afresh kutafuta vyenu.
Kule kustart pamoja kutakwenda pamoja ukiwa unaishi ktk nyumba hata kama ya kupanga ni poa tu then mtaendela kukusanya nguvu ili mjenge nyumba yenu mkiwa bwana na bibi.

Usithubutu kuleta ujanja wa kumlipisha kodi mwanaume kwenye nyumba yako, hapo ndipo niliposema majuto yatachukua nafasi iwapo utatumia ulaghai halafu mzee baba akastukia huo mchezo
 
Ahahaaa sawa bosi
 
Ila mwanaume akiwa na jumba kubwa mnashoboka na wala hatuwajaji kuwa umefuata jumba.KWELI NIMEAMINI WANAWAKE WEUSI NO WACHAWI
Ni wajibu umpeleke kwa jumba lako huyo mkeo maadam ni wewe uliyemtafuta na ukamlipia mahali na ukakabidhiwa mke.

Mali yako ni yake [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…