Sasa we binafsi ushetani, uchawi na unafiki unatarajia kuviacha lini??Masikini ni shetani
Masikini ni mchawi
Masikini ni mnafiki
Masikini weee
Sasa we binafsi ushetani, uchawi na unafiki unatarajia kuviacha lini??
Maana kwenye bandiko lako mwishoni kabisa umeainisha ya kuwa wewe ni maskini.
Tupe TAFSIRI ya Tajiri na Masikini kwanzaMtu kabla hajawa tajiri alikuwaje?
Tajiri anasaidiwaje?
Unafikiri matajiri wamekuwa matajiri bila kuwategemea masikini?
Ukiona kuna matajiri nyuma kuna masikini wengi tu waliozidiwa fikra na mtu mmoja au wachache ambao unaowaita masikini.
Kwa nanma fulani upo sahihi,ili kuondokana na umaskini unahitaji jitihada na muda wako wa kutosha sana lakini tuna jamii za watu hasa ndugu wamejawa na fikra za kimasikini wanapoona mtu anatokwa jasho wao wanakaa pembeni hawampi sapoti yoyote zaidi ya kusubili mwenzao ateseke halafu akifanikiwa awasaidie shida zao, sasa kwa upande wangu wakati wa mateso nilikuwa peke yangu kwenye kula bata zangu sitaki kuona pua ya mtu zaidi ya wife na wanangu ambao niliteseka nao.
Sasa ulitaka waende wapi ikiwa hawakuwa na uhakika na kesho yao!?
[emoji23][emoji23][emoji23] bongo noma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tutaleta pia zetu hata Kama hutaki[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Anamaanisha watu wenye roho za kimaskini. Hamaanishi fukara.Masikini ni nani kwani