Usisaidie masikini, acha wafe

Usisaidie masikini, acha wafe

Masikini ni shetani
Masikini ni mchawi
Masikini ni mnafiki
Masikini weee
Sasa we binafsi ushetani, uchawi na unafiki unatarajia kuviacha lini??
Maana kwenye bandiko lako mwishoni kabisa umeainisha ya kuwa wewe ni maskini.
 
Mtu kabla hajawa tajiri alikuwaje?

Tajiri anasaidiwaje?

Unafikiri matajiri wamekuwa matajiri bila kuwategemea masikini?

Ukiona kuna matajiri nyuma kuna masikini wengi tu waliozidiwa fikra na mtu mmoja au wachache ambao unaowaita masikini.
 
Tupe TAFSIRI ya Tajiri na Masikini kwanza
 
Sasa ulitaka waende wapi ikiwa hawakuwa na uhakika na kesho yao!?
 
Kwa nanma fulani upo sahihi,ili kuondokana na umaskini unahitaji jitihada na muda wako wa kutosha sana lakini tuna jamii za watu hasa ndugu wamejawa na fikra za kimasikini wanapoona mtu anatokwa jasho wao wanakaa pembeni hawampi sapoti yoyote zaidi ya kusubili mwenzao ateseke halafu akifanikiwa awasaidie shida zao, sasa kwa upande wangu wakati wa mateso nilikuwa peke yangu kwenye kula bata zangu sitaki kuona pua ya mtu zaidi ya wife na wanangu ambao niliteseka nao.
 
😀😀😀😀

Tutaleta pia zetu hata Kama hutaki🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu nimesoma bandiko mara 10 ni kama umenipa fundisho.
Nimesaidia masikini wawili kwa muda tofauti.
1--Masikini wa Kwanza aliniomba nimkopeshe kiasi cha pesa 1,500,000 amekwama Jambo fulani.
Atarudisha baada ya week.
2-- Masikini mwingine akaniomba nimkopeshe 300,000 atanipa baada ya mwezi mmoja.

Hivi Ninavyoandika comment hii,,ni miezi 3 imeshapita.
Pesa bado sijarudishiwa ,,na tayari mimi na wale masikini tumeshakuwa maadui wakubwa.

Ni kweli usisaidie masikini Bora wafe.
 
Hili bandiko nimelisoma zaidi ya mara kumi
 
Masikini ni nani kwani
Anamaanisha watu wenye roho za kimaskini. Hamaanishi fukara.

Mfano. Kaini aliitazama ardhi, akailima, akavuna mazao, akaonekana tajiri kwa kuwa ana akiba. Lakini Roho ya kimaskini ikamtuma kuwa Mwenyezi Mungu ana shida sana, hivyo ampe mabaki. Ndivyo maskini wa rohoni walivyo. Akiona kuna ulazima wa kumpa mwingine, mioyo yao huwatuma kutoa mabaki au hata sumu.

Maskini wa roho, hawaamini katika mafanikio ya wengine, bali huwaza maangamizi ya wengine.

Nwndeni mkachunguze kwa makini. Kule ambako hakuna maendeleo yoyote, mkaangalie historia za viongozi waliowaongoza. Kiongozi mwenye umaskini wa roho, huielekeza jamii nzima kwenye shida na maangamizi.

Namuunga mkono mleta mada, lakini aongezee kuwa ni maskini wa roho, na siyo mafukara.
 
Kumsaidia masikini ni kumkopesha Mungu nae atakulipa mara nyingi zaidi yake.
Hii Siri wanayo weupe wanatusaidia Sana Ili wao wabarikiwe zaidi.
Shida yetu unataka ukimsaidia mtu akifanikiwa akulipe fadhila ndipo maumivu huja, we saidia kisha usigeuke nyuma.
 
Back
Top Bottom