Usisaidie masikini, acha wafe

Wewe ni Mwalimu sawa ila sijawahi kuwaamini walimu asilimia mia kwani nao hushindilia mawazo yao binafsi wakidanganya watu kuwa huo ndio uhalisia! Mfano kwa kusema Lazaro alikuwa akitafuta Kiki ni sawa ila kwa maoni yako bila kuilisha maneno Biblia.
 
Ukisema Utaonekana unawasema vibaya
Mzee wa fasihi nakupa mrejesho wa asubui Saa mbili nilimpa masikini ombaomba shilingi elf moja na mia mbili jioni hii nimepata muamala wa elf 20.Hapa unasemaje.Mimi naamini katika utoaji Ili kupata zaidi baraka za Mwenyezi Mungu.

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 20,815. Umepokea TSh 20,000 kutoka Vodacom; 255xxxxxxx - JOHxxx NDIxxxxxxx, kumbukumbu ya malipo.: 2551xxxxxxc. 9C809QxxxxxxK. 08/03/22 18:41
 
Masikini akikuomba umkopeshe 100,000 mpe elfu kumi mwambie huna pesa, na hiyo elfu kumi mwambie hutamdai. Hapo utapata baraka kwa Mungu kuliko umkope masikini laki moja ili akusajili kwenye timu zake za kishetani za kudaiana.

Hapo unakuwa umempa ili umnyonye...???? ukizingatia ulisema kumpa masikini hela ni kuongeza ushetani
 
Aisee this makes alot of sense!!
Kweli hamna mnyenyekevu maskini!
 
UJINGA

MARADHI

UMASIKINI

Nchi yetu miaka yote inapambana na hivi vitu....

Kuhusu ushetani sina comment
 
Wewe ni Mwalimu sawa ila sijawahi kuwaamini walimu asilimia mia kwani nao hushindilia mawazo yao binafsi wakidanganya watu kuwa huo ndio uhalisia! Mfano kwa kusema Lazaro alikuwa akitafuta Kiki ni sawa ila kwa maoni yako bila kuilisha maneno Biblia.

Mkuu NI zakayo bhana! Embu soma vizuri
 
Aisee this makes alot of sense!!
Kweli hamna mnyenyekevu maskini!

Masikini tulivyo tunakunyrnyekea Kwa sababu za shida zetu. Ngoja ziishe ili uone rangi zetu halisi🤣🤣🤣

Tajiri au mwenye uwezo na hadhi ndio huweza kuitwa nyenyekevu ikiwa atajishusha na kutotumia nafasi yake kukandamiza wengine. Kutokujiona Bora Kwa ubora alionao
 
Mkuu hapo husaidii masikini Bali unafanya biashara ya Imani 😀😀😀

Yaani unatoa kumi upate mara kumi kupitia hao masikini. Unawakombea masikini riziki zao kisa Sadaka zao🤣🤣🤣

Huo ni uhuni Kama uhuni mwingine.
 
Sifanyi biashara ya imani bali nasaidia kulingana na maagizo ya Mwenyezi Mungu "nijaribuni muone"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…