Usisaidie masikini, acha wafe

Usisaidie masikini, acha wafe

Neno la Bwana linasema

Screenshot_20220308_120904.jpg
 
Sasa huoni baada ya Magufuli kuwachana makavu huoni watamchagua tena?

Zakayo alikuwa na Yake, alikuwa anatafuta umashuhuri kupitia Yesu. KIKI hazijaanza leo asee! Wewe bado kuna mambo unayachukulia sirius wakati ni yakawaida.

Zakayo alitafuta Kiki Tuu

Tukio la Zakayo ni KIKI

Hapo nyuma tunamuona Tajiri mmoja akimfuata Yesu na kumuuliza afanye nini ili aweze kuurithi ufalme wa Mungu? Yesu akamuuliza wazijua Amri? Tajiri akamtajia amri. Yesu akampongeza kuwa amefanya vyema. Ili Yesu aizime ile Kiki ya Yule Tajiri akamuambia agawe mali zake zote kisha amfuate. Tajiri kwa kusikia hivyo akakimbiua. Hii ilikuwa Kiki ya tajiri.

Sasa Zakayo Kiki yake ni ile iliyoboreshwa kutoka kwenye Kiki ya hapo Juu. Na ndio maana akasema nusu ya mali yake atawapa masikini. Kweli pale pale akatoa pesa na kugawa nje watu wakavunjana kung'ang'ania.

Zakayo alifanya kiki kukuza jina lake kwenye mji ule. Na hata hivi leo jina lake lipo sio kwa sababu ya nini, bali Kiki yake hiyo ambayo haina uthibitisho kuwa alitoa nusu ya mali yake kwani haikutajwa anamali kiasi gani, hivyo hata angetoa kiasi chochote isingekuwa uthibitisho wa kuwa ametoa nusu ya mali zake.

Ili isiwe Kiki, Biblia isingeshindwa kuandika kuwa alikuwa na mali kadhaa na akatoa kadhaa. Kama Biblia ilivyoandika kwa habari ya Ayubu, Ibrahimu, Daudi, wote hao mali zilitajwa kwa hesabu
Wewe ni Mwalimu sawa ila sijawahi kuwaamini walimu asilimia mia kwani nao hushindilia mawazo yao binafsi wakidanganya watu kuwa huo ndio uhalisia! Mfano kwa kusema Lazaro alikuwa akitafuta Kiki ni sawa ila kwa maoni yako bila kuilisha maneno Biblia.
 
Ukisema Utaonekana unawasema vibaya
Mzee wa fasihi nakupa mrejesho wa asubui Saa mbili nilimpa masikini ombaomba shilingi elf moja na mia mbili jioni hii nimepata muamala wa elf 20.Hapa unasemaje.Mimi naamini katika utoaji Ili kupata zaidi baraka za Mwenyezi Mungu.

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 20,815. Umepokea TSh 20,000 kutoka Vodacom; 255xxxxxxx - JOHxxx NDIxxxxxxx, kumbukumbu ya malipo.: 2551xxxxxxc. 9C809QxxxxxxK. 08/03/22 18:41
 
Masikini akikuomba umkopeshe 100,000 mpe elfu kumi mwambie huna pesa, na hiyo elfu kumi mwambie hutamdai. Hapo utapata baraka kwa Mungu kuliko umkope masikini laki moja ili akusajili kwenye timu zake za kishetani za kudaiana.

Hapo unakuwa umempa ili umnyonye...???? ukizingatia ulisema kumpa masikini hela ni kuongeza ushetani
 
Hakuna Tajiri anayehitaji unyenyekevu wa Masikini. Kwani unamsaidia nini huo unyenyekevu?

Unajua Masikini wanaakili za ajabu Sana.

Kinachokufanya uwe mnyenyekevu ni umasikini wako.
Na wala sio unyenyekevu Bali unafiki wa kimasikini ili upewe msaada, alafu ukishaupata unaonyesha Rangi zako halisi😀😀😀

Masikini wengi hawana unyenyekevu isipokuwa unafiki.

Mnyenyekevu ni mtu mwenye hadhi ya juu ambaye ameamua kujishusha na kuishi maisha ya kawaida pasipo kujikweza.

Sasa Masikini anamaisha ya chini atajinyenyekezaje ilhali yeye yupo chini?
Aisee this makes alot of sense!!
Kweli hamna mnyenyekevu maskini!
 
UJINGA

MARADHI

UMASIKINI

Nchi yetu miaka yote inapambana na hivi vitu....

Kuhusu ushetani sina comment
 
Wewe ni Mwalimu sawa ila sijawahi kuwaamini walimu asilimia mia kwani nao hushindilia mawazo yao binafsi wakidanganya watu kuwa huo ndio uhalisia! Mfano kwa kusema Lazaro alikuwa akitafuta Kiki ni sawa ila kwa maoni yako bila kuilisha maneno Biblia.

Mkuu NI zakayo bhana! Embu soma vizuri
 
Aisee this makes alot of sense!!
Kweli hamna mnyenyekevu maskini!

Masikini tulivyo tunakunyrnyekea Kwa sababu za shida zetu. Ngoja ziishe ili uone rangi zetu halisi🤣🤣🤣

Tajiri au mwenye uwezo na hadhi ndio huweza kuitwa nyenyekevu ikiwa atajishusha na kutotumia nafasi yake kukandamiza wengine. Kutokujiona Bora Kwa ubora alionao
 
Mzee wa fasihi nakupa mrejesho wa asubui Saa mbili nilimpa masikini ombaomba shilingi elf moja na mia mbili jioni hii nimepata muamala wa elf 20.Hapa unasemaje.Mimi naamini katika utoaji Ili kupata zaidi baraka za Mwenyezi Mungu.

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 20,815. Umepokea TSh 20,000 kutoka Vodacom; 255xxxxxxx - JOHxxx NDIxxxxxxx, kumbukumbu ya malipo.: 2551xxxxxxc. 9C809QxxxxxxK. 08/03/22 18:41

Mkuu hapo husaidii masikini Bali unafanya biashara ya Imani 😀😀😀

Yaani unatoa kumi upate mara kumi kupitia hao masikini. Unawakombea masikini riziki zao kisa Sadaka zao🤣🤣🤣

Huo ni uhuni Kama uhuni mwingine.
 
Sifanyi biashara ya imani bali nasaidia kulingana na maagizo ya Mwenyezi Mungu "nijaribuni muone"

Screenshot_20220308_203956.jpg

Screenshot_20220308_203937.jpg
 
Back
Top Bottom