Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Masikini ni nani kwani
usioe wala kuolewa na masikini [emoji3][emoji3][emoji3] dah!! mimi siku nikioa ntaenda kuoa Kijijini mtoto mdogo bikra wa miaka 15 maana sheria inaruhusu na pesa nazo za kutosha. hapo kwenye kuoa nakupinga
itabidi nikatembee huko india hata mwezi mmojaItabidi ukaishi India kwenye jamii ya untouchables, wale wahindi wenzao wanaamini wana laana, ndiyo maana wanawabaka, wanawaua, hawaruhusiwi kuvaa viatu mbele ya wahindi wengine, hawaruhusiwi kuwa na jina sawa na wahindi wengine, hawaruhusiwi hata kupita mtaa wanakoishi wahindi wengine, na hawaruhusiwi kusoma au kufanya kazi nyingine isipokuwa zile kazi ambazo wengine hawawezi kufanya kama kuokota taka na kuzibua vyoo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na wewe ni mtumiaji?Hii bangi umevuta inatoka meru hii.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila sio wote mzee kuna masikini wana roho nzuriSitakupangia lakini onyo nimeshakupa.
Masikini hafadhiliki,
Itabidi ukaishi India kwenye jamii ya untouchables, wale wahindi wenzao wanaamini wana laana, ndiyo maana wanawabaka, wanawaua, hawaruhusiwi kuvaa viatu mbele ya wahindi wengine, hawaruhusiwi kuwa na jina sawa na wahindi wengine, hawaruhusiwi hata kupita mtaa wanakoishi wahindi wengine, na hawaruhusiwi kusoma au kufanya kazi nyingine isipokuwa zile kazi ambazo wengine hawawezi kufanya kama kuokota taka na kuzibua vyoo.
Ndugu,
Utu wema na Ubaya hausababishwi na Umasikini/Utajiri.
Sisi masikini tukifa wote dunia itapendeza sana. Hata malaika watakuja kuishi na wanadamu wenye tabasamu
vipi matajiri wenye hela za kichawiMasikini hawezi kuwa na utu.
90% ya masikini wana roho mbaya, niamini mimi.
Kama hutaki, nenda kwenye mitaa ya masikini ukaishi hata miezi mitatu, kisha nenda ushuani utaona ninayoyasema.
Kwenye umasikini ndio uchawi ulipo, wizi, ukabaji, matusi, kelele, yaani kila aina ya kadhia.
Nenda ushuani uone kama utakuta hayo mambo.
Umasikini ndio ushetani bado hujajua tuu
Kuoa masikini ni sawa na kuoa dhetani[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi ntaoa kijijini then ntasikilizia nione haya unayoyasema kama yatatokea
Hela wanazochangiwa masikini kila mwaka zingetosha kuibadili hii dunia kuwa paradisoHsahahahhaha
Japo sijapendezwa lakini huo ndio ukweli
vipi matajiri wenye hela za kichawi