Usisaidie masikini, acha wafe

Usisaidie masikini, acha wafe

Itabidi ukaishi India kwenye jamii ya untouchables, wale wahindi wenzao wanaamini wana laana, ndiyo maana wanawabaka, wanawaua, hawaruhusiwi kuvaa viatu mbele ya wahindi wengine, hawaruhusiwi kuwa na jina sawa na wahindi wengine, hawaruhusiwi hata kupita mtaa wanakoishi wahindi wengine, na hawaruhusiwi kusoma au kufanya kazi nyingine isipokuwa zile kazi ambazo wengine hawawezi kufanya kama kuokota taka na kuzibua vyoo.
itabidi nikatembee huko india hata mwezi mmoja
 
Itabidi ukaishi India kwenye jamii ya untouchables, wale wahindi wenzao wanaamini wana laana, ndiyo maana wanawabaka, wanawaua, hawaruhusiwi kuvaa viatu mbele ya wahindi wengine, hawaruhusiwi kuwa na jina sawa na wahindi wengine, hawaruhusiwi hata kupita mtaa wanakoishi wahindi wengine, na hawaruhusiwi kusoma au kufanya kazi nyingine isipokuwa zile kazi ambazo wengine hawawezi kufanya kama kuokota taka na kuzibua vyoo.

Hahaha! Nchi nyingi zipo hivyo Mkuu. Huku Afrika ndio masikini wanathaminiwa. Yaani shetani anathaminiwa ndio maana umasikini hauishi.

Jamii inayonyanyasa masikini inamnyanyanyasa shetani hivyo umasikini unakimbia automatic kwa sababu watu huhangaika kutafuta pesa, lakini vipi Afrika?

Ati masikini wanathaminiwa, hivi mnaweza kuwathamini masikini kweli?
 
Ndugu,
Utu wema na Ubaya hausababishwi na Umasikini/Utajiri.

Masikini hawezi kuwa na utu.

90% ya masikini wana roho mbaya, niamini mimi.

Kama hutaki, nenda kwenye mitaa ya masikini ukaishi hata miezi mitatu, kisha nenda ushuani utaona ninayoyasema.

Kwenye umasikini ndio uchawi ulipo, wizi, ukabaji, matusi, kelele, yaani kila aina ya kadhia.
Nenda ushuani uone kama utakuta hayo mambo.

Umasikini ndio ushetani bado hujajua tuu
 
Kuoa masikini ni sawa na kuoa dhetani[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi ntaoa kijijini then ntasikilizia nione haya unayoyasema kama yatatokea
 
vipi matajiri wenye hela za kichawi
 
Kuoa masikini ni sawa na kuoa dhetani[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi ntaoa kijijini then ntasikilizia nione haya unayoyasema kama yatatokea

Sio mpaka uoe Mkuu, unaweza fanya utafiti kwa waliooa sasa hivi ukapata majibu. Kwa nini ujaribu sumu kwa kuionja, walioionja wapo tayari. kazi kwako kufanya upembuzi
 
Back
Top Bottom