Usisaidie masikini, acha wafe

Usisaidie masikini, acha wafe

unadhani ilikua ni rahisi kwa enzi hizo kapuku kumiliki vifaa vya usafiri kama hivyo vyote
Mh!!!! Wakishua wakati walikua wanatumia punda, farasi na miguu kwa ajili ya kuhama kutoka eneo moja kwenda lingine.
 
Nimeishia katikati nitamalizia kusoma kesho ila issue ya umasikini na kutoa msaada vinashabihiana hasa ukiwa upande wa imani, ila nje ya dini unaweza kuwa sahihi.
 
Hiv hapo zaman zakale sungura na fisi nani alikuwa maskini[emoji849][emoji849]
 
Noted ebu muone Jpm
Sio kila aliye maskini akipata ukwasi anakuwa katili na tabia za kishetani,
Wazungu wale wa mgodini nyamongo,walikuwa na umaskini gani,mbona waliua watu wengi kwa sumu?
Unaweza kuzaliwa Ikulu,na ukawa mshenzi,katili,kasome historia ya watoto wa Ghadafi,walikuwa wanaogopwa Kama ukoma,
Vipi kuhusu Prince aliyeamrisha mwandishi Jamar khashogi auwawe,alikuwa na umaskini gani,mbona kazaliwa Ikulu,
Umaskini sio sababu pekee ya kumfanya mtu awe na tabia za kishenzi
 
Mimi ni masikini, ila umasikini wangu unatokana na ulimwengu wa roho. Nina laana? Unaweza ukasimamiwa kooni na binadamu mwenzako mpaka mwisho wa maisha yako. Tajiri umemnyonya masikini bila huruma na kumuita mwenye laana . Ni uuuuuungwana?
 
Tofauti yako mtoa mada na shetani ni vile wewe unaonekana na mwenzio haonekani lakini mna roho linganifu,haiwezekani tusisaidie maskini maana vitabu vya Mungu vinasisitiza upendo na kuwasaidia wenye shida.
Toa hoja kumpinga acha utopolo
 
Sio kila aliye maskini akipata ukwasi anakuwa katili na tabia za kishetani,
Wazungu wale wa mgodini nyamongo,walikuwa na umaskini gani,mbona waliua watu wengi kwa sumu?
Unaweza kuzaliwa Ikulu,na ukawa mshenzi,katili,kasome historia ya watoto wa Ghadafi,walikuwa wanaogopwa Kama ukoma,
Vipi kuhusu Prince aliyeamrisha mwandishi Jamar khashogi auwawe,alikuwa na umaskini gani,mbona kazaliwa Ikulu,
Umaskini sio sababu pekee ya kumfanya mtu awe na tabia za kishenzi
Nyamaza
 
Somo lako likiwakolea watu,huwezi kuzuia vita.

Nakuhakikishia hakuna maumivu makubwa kama ya umaskini.Huyu maskini akigundua hizi ndizo agenda za wale wanaodhani ni matajiri,Ndipo utamuona akidhihirisha ushetani wake.
 
Back
Top Bottom