DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Na ndo hao hao baada ya kushiba waliomgeuka na kumtia msalabaniKwahiyo Yesu asingewalisha wale walalahoi 5000, angewaacha wafe njaa si ndio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo hao hao baada ya kushiba waliomgeuka na kumtia msalabaniKwahiyo Yesu asingewalisha wale walalahoi 5000, angewaacha wafe njaa si ndio?
Masikini akipewa uongozi uwe wa kifamilia, kijamii, kikampuni, au Kinchi hakika hakuna namba mtakazo acha kuzisoma.
Mh!!!! Wakishua wakati walikua wanatumia punda, farasi na miguu kwa ajili ya kuhama kutoka eneo moja kwenda lingine.
Sio kila aliye maskini akipata ukwasi anakuwa katili na tabia za kishetani,Noted ebu muone Jpm
Toa hoja kumpinga acha utopoloTofauti yako mtoa mada na shetani ni vile wewe unaonekana na mwenzio haonekani lakini mna roho linganifu,haiwezekani tusisaidie maskini maana vitabu vya Mungu vinasisitiza upendo na kuwasaidia wenye shida.
Punda wa bure?Mh!!!! Wakishua wakati walikua wanatumia punda, farasi na miguu kwa ajili ya kuhama kutoka eneo moja kwenda lingine.
NyamazaSio kila aliye maskini akipata ukwasi anakuwa katili na tabia za kishetani,
Wazungu wale wa mgodini nyamongo,walikuwa na umaskini gani,mbona waliua watu wengi kwa sumu?
Unaweza kuzaliwa Ikulu,na ukawa mshenzi,katili,kasome historia ya watoto wa Ghadafi,walikuwa wanaogopwa Kama ukoma,
Vipi kuhusu Prince aliyeamrisha mwandishi Jamar khashogi auwawe,alikuwa na umaskini gani,mbona kazaliwa Ikulu,
Umaskini sio sababu pekee ya kumfanya mtu awe na tabia za kishenzi
Maskini upo jf?Mimi ni Maskini lkn sijalaaniwa