Usisamehe mpenzi msaliti KAMWE!

Usisamehe mpenzi msaliti KAMWE!

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee watoto hayo mambo yapo blaa blaaa kibao.

Alipo fika kwangu sikua na maneno mengi nikamwambia piga chini vuta chuma kingine kama huwezi kukaa single, kama unaweza kaa mwenyewe tafuta pesa enjoy life.

Akaniona fala,
Akaenda wakasameheana life likaendelea.

Kumbe Dem Bado anapigwa miti tena sio na mchizi mmoja wapo karibu watatu tofauti 🤣🤣

Kaja kujua, mwana saizi yupo ICU ana kifafa 🤣🤣

Katika vitu hutakiwi kuvifanya ni kusamehe mwanamke msaliti, Bora ukatwe korodani but don't do that
Hata Mungu hataki huo ujinga na haupo kwenye Saba mara sabini 🤣🤣

Imeandikwa

"Msiachane isipokuwa Kwa habari ya uzinzi"
 
Back
Top Bottom