Sio wewe ulietumia 9m kwa demu? Ukampangishia nyumba? Daby sio huyu aliehonga Rav4?Mimi jana na ujanja wangu wote wa ku import demu alinitesa kwa miaka 3 nimeishia kutumia laki mbili (200000tsh] kwa siku moja.....
Kweli maisha hayafanani kama vidole vya miguuni....
Sent using Jamii Forums mobile app
🙂🙂🙂
🙂🙂Sijakuelewa mkuu, part ya kwanza nimeelewa ila hapo kwenye walaji kula mkiwa ndani sijaelewa umemaanisha nini [emoji3] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]Hahaha, bado ila umbo si mchezo,Mmmh haya bana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23] [emoji23] ,nimeishiwa neno[emoji28][emoji28]
Hiko kitu sina bongo hakuna sehemu makini level za ulaya bora nishinde bar za kawaidaUkishika hela utaanza tu kutafuta sehemu za bei mbaya kuzitumbua. Hii inakuja natural ukiwa na kibunda mfukoni
Labda ukitafuta hela utajua kuwa bongo kuna vitu kibao level za Ulaya. Ukiwa na hela utatumia gari na nyumba ambayo hata ukiihamishia Ulaya itakuwa nzuri mtaani. Unafikiri Hyatt ya Bongo wenye franchise yao watakubali iwe na kiwango cha chini? Huo ni mfano mmoja tuHiko kitu sina bongo hakuna sehemu makini level za ulaya bora nishinde bar za kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu wataachia na nyuso..kuws na subira mkuuKumbe nawe umeona eeh ,halafu huu mtindo umeingia wa kuziba USO kuachia kwingine
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Naam wataachia km wanavyojiachia huko Instagram
Kila mtu apambane kivyakeHabari za weekend wakuu.
Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa.
Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona hali yake ngumu asiseme "vyuma vimekaza" bali "vyuma vyangu vimekaza". Uki generalize kuna wengine wanakwazika.