Usiseme Vyuma Vimekaza; Sema Vyuma Vyangu Vimekaza

Usiseme Vyuma Vimekaza; Sema Vyuma Vyangu Vimekaza

Hiko kitu sina bongo hakuna sehemu makini level za ulaya bora nishinde bar za kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ukitafuta hela utajua kuwa bongo kuna vitu kibao level za Ulaya. Ukiwa na hela utatumia gari na nyumba ambayo hata ukiihamishia Ulaya itakuwa nzuri mtaani. Unafikiri Hyatt ya Bongo wenye franchise yao watakubali iwe na kiwango cha chini? Huo ni mfano mmoja tu
 
Habari za weekend wakuu.

Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa.

Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona hali yake ngumu asiseme "vyuma vimekaza" bali "vyuma vyangu vimekaza". Uki generalize kuna wengine wanakwazika.
Kila mtu apambane kivyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom