Usiseme Vyuma Vimekaza; Sema Vyuma Vyangu Vimekaza

Usiseme Vyuma Vimekaza; Sema Vyuma Vyangu Vimekaza

Mbona watu wanatumia milioni zaidi ya 30 kwa harusi ya siku moja, kwan si unaacha tu unaamua tu kufunga ndoa unarudi home kila mtu kwao, ila tunasherehekea tunaenjoy, si hiyo ni starehe ukiwa na milioni kibao unastareheka, matatizo ya watu sio yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi jana na ujanja wangu wote wa ku import demu alinitesa kwa miaka 3 nimeishia kutumia laki mbili (200000tsh] kwa siku moja.....

Kweli maisha hayafanani kama vidole vya miguuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
single people will be online the whole day jus commenting, tweeting, Rtin, and liking until their phones become hot
 
Hata niwe na billion 100 mi hizo sehemu sipendi kwenda kwakweli labda niwe na demu wangu amelilia najua akijitahidi kanywa Heineken 6 .. Mimi ni Mzee wa bar .. Muhudumu kumshika matakp na vituko vingine bia 1500 bei elekezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishika hela utaanza tu kutafuta sehemu za bei mbaya kuzitumbua. Hii inakuja natural ukiwa na kibunda mfukoni
 

Attachments

  • FE8BDE43-9405-4F5D-8141-6AC20F3BBF51.jpeg
    FE8BDE43-9405-4F5D-8141-6AC20F3BBF51.jpeg
    56.9 KB · Views: 16
Back
Top Bottom