Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Karibu Tanzania ππ
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
π ndio tupo hivyo!!
-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo ππ
-kila kituo Cha mafuta, kinaitwa sheliππ
-Tunahodisha kwa mkono na mdomo mda huo "koh koh koh" kuna mtu?
ee ndio utanzania
tutafanyaje? π
-Tanesco wakizima umeme tunatoka nje kuangalia kama ni kote au LA ππ
ndio hivi tulivyo ππ
-Dah tunatumia sabuni kuogea hadi inakua kama line ya simu πππ₯±π₯±π₯±
wala hatujali!
-Tunanunua kitu, hatusomi maelekezo, tunauliza majirani unatumiaje?
ππ ee ndo sisi unakataa au
-Tunatoa pesa ATM kisha tunazihesabu kabla ya kuondoka ππ
-Hatumuamini mtu yeyote π hata mashine iliyotengenezwa na mtu πππππππ€£π€£
Ndo asili yetu
-Tuna lock gari kisha tunajaribu kuifungua mara mbili tuone kama inafunguka au LA π€£π€£π hapa tumezidi
-Tunapunguza sauti ili tu tusikilize kipi kinachonukia π€£π€£π€£π this is us π€£π€£π€£
- mdada akitongozwa leo, Basi kesho yake ana pata matatizo, gesi inaisha, bibi yake anameza chemliππ
Niambie umeguswa na ipi? π
πI mean no malice to nobody