Usishangae, hivi ndivyo tulivyo

Usishangae, hivi ndivyo tulivyo

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Karibu Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
πŸ˜‚ ndio tupo hivyo!!

-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚

-kila kituo Cha mafuta, kinaitwa sheliπŸ˜‚πŸ˜‚

-Tunahodisha kwa mkono na mdomo mda huo "koh koh koh" kuna mtu?
ee ndio utanzania
tutafanyaje? πŸ˜‚

-Tanesco wakizima umeme tunatoka nje kuangalia kama ni kote au LA πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio hivi tulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚

-Dah tunatumia sabuni kuogea hadi inakua kama line ya simu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
wala hatujali!
-Tunanunua kitu, hatusomi maelekezo, tunauliza majirani unatumiaje?
πŸ˜‚πŸ˜‚ ee ndo sisi unakataa au

-Tunatoa pesa ATM kisha tunazihesabu kabla ya kuondoka πŸ˜‚πŸ˜‚
-Hatumuamini mtu yeyote πŸ˜‚ hata mashine iliyotengenezwa na mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£

Ndo asili yetu

-Tuna lock gari kisha tunajaribu kuifungua mara mbili tuone kama inafunguka au LA πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ hapa tumezidi

-Tunapunguza sauti ili tu tusikilize kipi kinachonukia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ this is us 🀣🀣🀣

- mdada akitongozwa leo, Basi kesho yake ana pata matatizo, gesi inaisha, bibi yake anameza chemliπŸ˜‚πŸ˜

Niambie umeguswa na ipi? πŸ˜‚
πŸ‘‰I mean no malice to nobody

FB_IMG_16852837503514402.jpg
 
Karibu Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
πŸ˜‚ ndio tupo hivyo!!

-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚

-Tunahodisha kwa mkono na mdomo mda huo "koh koh koh" kuna mtu?
ee ndio utanzania
tutafanyaje? πŸ˜‚

-Tanesco wakizima umeme tunatoka nje kuangalia kama ni kote au LA πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio hivi tulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚

-Dah tunatumia sabuni kuogea hadi inakua kama line ya simu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
wala hatujali !!
-Tunanunua kitu, hatusomi maelekezo, tunauliza majirani unatumiaje?
πŸ˜‚πŸ˜‚ ee ndo sisi unakataa au

-Tunatoa pesa ATM kisha tunazihesabu kabla ya kuondoka πŸ˜‚πŸ˜‚
-Hatumuamini mtu yeyote πŸ˜‚ hata mashine iliyotengenezwa na mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£

Ndo asili yetu

-Tuna lock gari kisha tunajaribu kuifungua mara mbili tuone kama inafunguka au LA πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ hapa tumezidi

-Tunapunguza sauti ili tu tusikilize kipi kinachonukia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ this is us 🀣🀣🀣

Niambie umeguswa na ipi? πŸ˜‚
πŸ‘‰I mean no malice to nobody
View attachment 2638305
Niliikuta "Sauzi Afirika" hii!Nimeguswa na hiyo ya "TANESCO" wakikata umeme tunatoka nje kuhakikisha kama na kwa majirani wamekata.
 
Kwenye Dawa ya meno Colgate wengine hawaijui

SEMA KWENYE OMO IYO IPO HIVYO SIPINGI
 
Mbona una makasiriko, Kama umekosa uji wa msibani πŸ€”πŸ€—
Don't clutter your conversation with emojis especially dysphoria emojis. Displaying such emotions in a conversation makes you look like a soy boy and a clown.
A conversation filled with emojis is dirty, noisy and childish. Write what you intend to write without relying on emoticons to trigger emotions. Leave emotions to women.
 
Sera zetu πŸ‘‰ Panga mkononi
πŸ‘‰ Roho begani
Mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo@Poor Brain, miyeyusho stow away
 
Don't clutter your conversation with emojis especially dysphoria emojis. Displaying such emotions in a conversation makes you look like a soy boy and a clown.
A conversation filled with emojis is dirty, noisy and childish. Write what you intend to write without relying on emoticons to trigger emotions. Leave emotions to women.
Angalau uwe unajifunza kupanga hoja, sio una ruka ruka Kama mchicha mwibaπŸ€”.
πŸ‘‰ Hating something, just because you don't have interest in. Nalo ni jangaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Sauti na harufu wapi na wapi?!!!!!!!
 
Back
Top Bottom