Usishangae, hivi ndivyo tulivyo

Usishangae, hivi ndivyo tulivyo

Kiumbe kinachopumua Hela ni muhimu😂😂😂
Kumbe we hunijuiii😁😁 Aaliyyah
FB_IMG_16841888492946534.jpg
 
Karibu Tanzania 😂😂
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
😂 ndio tupo hivyo!!

-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo 😂😂

-Tunahodisha kwa mkono na mdomo mda huo "koh koh koh" kuna mtu?
ee ndio utanzania
tutafanyaje? 😂

-Tanesco wakizima umeme tunatoka nje kuangalia kama ni kote au LA 😂😂

ndio hivi tulivyo 😂😂

-Dah tunatumia sabuni kuogea hadi inakua kama line ya simu 😂😂🥱🥱🥱
wala hatujali !!
-Tunanunua kitu, hatusomi maelekezo, tunauliza majirani unatumiaje?
😂😂 ee ndo sisi unakataa au

-Tunatoa pesa ATM kisha tunazihesabu kabla ya kuondoka 😂😂
-Hatumuamini mtu yeyote 😂 hata mashine iliyotengenezwa na mtu 😂😂😂😄😄😄🤣🤣

Ndo asili yetu

-Tuna lock gari kisha tunajaribu kuifungua mara mbili tuone kama inafunguka au LA 🤣🤣😂 hapa tumezidi

-Tunapunguza sauti ili tu tusikilize kipi kinachonukia 🤣🤣🤣😂 this is us 🤣🤣🤣

Niambie umeguswa na ipi? 😂
👉I mean no malice to nobody
View attachment 2638305
na hii ya kila kituo cha mafuta ya motokaa kuita SHELI je!!!
 
Kwenda kuangalia runinga
utaskia ameenda kuangalia ITV hata kama ni movie kwenye VHS.
 
Mafuta yote ya kupikia ya kimiminika utaskia kanunue KORIE hata kama ni ya alizeti maana ya mgando utaambiwa kalete KIMBO. kalete kimbo ya mkate (blue band)
 
Plastic bugs zote zinaitwa mifuko ya rambo, Marlboro ama takeaway.

Kipimo cha mahindi ama unga sado

Pikipiki Toyo.

Hii hapa n nyongeza tu. Kugegedana MITI
 
Back
Top Bottom