Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
```Msichana Wa TUDARCO, UDSM NA IFM akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...
Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake.
"Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani I miss my Pompolimpo,pole na kazi mme wangu I wish I was there nikumassager na Ulimi hadi usinzie..
Leo Niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?
Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.
Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!
Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Eddy Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Ambiele
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya Vanilla.
We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,
Wana Mbinu hawa Viumbe Balaa,
kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!``` [emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nshamaliza yangu Alamsiki
Mwaaaaaaaaahhhhh Watoto Wazuri Wote[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]