Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Mwisho wa siku katika haya maisha kila mtu ana bahati yake.KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Education,KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Civil engineeringEngineering, kuwa specific engineering gani
Law mbna watu wengi wamepata kazi na wengine wamejiajiri
Asante sanaCivil engineering
Ajira hamna maybe utumie koneksheni kuna kozi kila mwaka wanataka watu 2Mwisho wa siku katika haya maisha kila mtu ana bahati yake.
Nmekosea apo nlimaanisha Clinic officer:Clinic officers wengi wako mtaani i thought kozi za science hamna anaekaa mtqani kumbe i was wrongHiyo MD umemaanisha Managing Director au Doctor of Medicine?
Unaweza usiwe na connection, usihonge na ukatoboa...Ajira hamna maybe utumie koneksheni kuna kozi kila mwaka wanataka watu 2
For how long utakaa MTAANI MTU ANAJITAHIDI LKN WAPIII? WATU WANAPEANA KAZI JUU KWA JUUKAMA HUNA EXPERIENCE KAZI UTASKIA KWA JIRANI NA KAMA HUNA KONEKSHENI BASI SAMALEKOUnaweza usiwe na connection, usihonge na ukatoboa...
Wanasema "juhudi haishindi kudra"
Ajira zipo sana, sema Huna connectionKOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA